Msaada: Ni basi gani lenye ubora kutoka Tanzania to Kigali (Rwanda)?

Naomba kujua kama kuna mabasi yanayokwenda Kigali nchini Rwanda nina kasafari ka kiutumishi huko.

Nitashukuru kwa msaada wenu.

Maendeleo hayana vyama!
 
Hilo Trinity ni basi la kawaida sana labda kama Chakito.

Hwezi linganisha trinity na Kimbinyiko, Shabibi, Tavavile ama KING Yasin

Kamji kenyewe kamebanana utafikiri kiberiti, maisha magumu mpaka wenyeji wanatia huruma.

Kigali yaweza kiasi fulani kulinganishwa walau na mji wa Moshi other wise ni kimji cha kawaida tu sema tu hakuna joto kama dar na hiyo ni kutokana na ukanda.

Kuhusu warembo ni mwonekano tu wa nje kwani 99% ni waterfalls and testless.
Anaebisha namwaga mboga

Naunga mkono hoja, nililiona kahama, ni zaidi ya basi lina vigezo vyote. Rwanda ni nchi ndogo ila wametuzidi sana kwenye sekta ya usafiri.
 
Kuna wenye tunapenda water falls
 

Umeulizwa basi unabaabwaja mengine [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Kigali unaijua?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…