Msaada: Ni mara ya pili nataka kujidhuru

Sioni walau wa kunishika mkono, wala anaewaza kuwa fulani yupo wapi na anafanya nini.

Kuna muda sitamani kuwasiliana na mtu yoyote hasa ndugu zangu, naona kama wananichora.
Nenda ofisi ya Mwenyekiti wako wa Mtaa kajielezee km wanakufahamu watakutatulia tatizo lako, una tatizo gani kwani ? Akili yako Ina shida au wewe una msongo wa mawazo maisha magumu jobuless ?
 
Hiyo ni short breef sana kaka kuna mengine ambayo yejificha that why sihitaji ata kuwasilian na ndugu zangu kaka
 
Hiyo ni short breef sana kaka kuna mengine ambayo yejificha that why sihitaji ata kuwasilian na ndugu zangu kaka
Kuna mtu wiki hii ameambiwa ana Kansa na hawezi kupona na hadi kipimo kachangiwa na wasamaria wema, lakini bado ana matumaini ya kuishi,sasa wewe mzima kabisa wa afya una mikono na miguu unafeli wapi!?
 
Una shida gani elezea huwezi jua tunaweza kukusaidia.mambo ni mengi ndugu nchi inauzwa,Mayele na Saidoo bado halijatatuliwa na bodi ya ligi nacho ni kipengele.
 
Kama huna familia

1. Ondoka dar
2.usiwasiliane na ndugu yoyote
3. Hakikisha hawajui uko wapi? Lakn hakikisha una ID za kuwapata ndugu zako in case of anything tembea nazo kwenye wallet
4. Nenda hata machimbo ya dhahabu hasa Kanda ya ziwa geita,mwanza, shinyanga kama uko smart utajipata sio muda mrefu
 
Wazo nzuri
 
What's popping kijana
 
Kuna watu waliowahi kuleta nyuzi kama hizi hapa wakachekwa na kudhihakiwa lakini mwisho wa siku kweli wakajiua na JF ikathibitisha...

So ni vyema kujaribu kuwasaidia kama inawezekana maana huduma zetu za mental health katika nchi hii ni zero labda mpaka mtu uokote makopo ndiyo watu wanajua kuwa ulikuwa serious...

Na kama mtu analeta jambo kama hili kama dhihaka basi mtu huyo nadhani ana matatizo makubwa zaidi kuliko hata anayetaka kujiua kikweli!
 
Tutaongea pakikucha ๐Ÿค”
Unanitisha dadako we mtoto!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ