Nchi Kavu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 4,290
- 2,468
- Thread starter
- #101
😁 Nimekusoma mkuu. Tulishaenda hospital moja kubwa ikaonekana wife yuko ok. Ikashauriwa apambane na stress. Binafsi sikucheki ila ni ushauri mzuri. Tutarudi tena hospital ila sio ya awaliKwanza nenda hospital kubwa kama Rabinisia, kairuki aghakan au muhimbili.
Kapime ubora wa mbegu zako na wingi, inashauriwa utoe bao lenye ujazo wa 64M sperms & 75% ya hizo sperms ziwe na uwezo wa kujongea na kufanya fertilization.
Kama mbegu zako ziko chini ya kiwango utapewa vidonge vya kuongeza ubora wa mbegu zako na kuongeza uzalishaji.
Mke wako atumie vidonge letrozole kama sikakosea Huwa ni 5 na anaanza kumeza baada tu ya kutoka period.
Kula vizuri, Fanya mazoezi na punguza msongo wa mawazo wa kutaka kupata mtoto Kila unapokutana na mke wako.
Hakikisha Kila siku we piga mbupu, hakuna cha kusubiri siku za hatari wala nn yaani we ni mwenda wa kusuuza lungu tu, utaona kama hajanasa na Kisha utakuja nishukuru.