Msaada: Ni zaidi ya nusu mwaka sasa tunatafuta mtoto bila mafanikio, tatizo linaweza kuwa nini?

😁 Nimekusoma mkuu. Tulishaenda hospital moja kubwa ikaonekana wife yuko ok. Ikashauriwa apambane na stress. Binafsi sikucheki ila ni ushauri mzuri. Tutarudi tena hospital ila sio ya awali
 
😁 Nimekusoma mkuu. Tulishaenda hospital moja kubwa ikaonekana wife yuko ok. Ikashauriwa apambane na stress. Binafsi sikucheki ila ni ushauri mzuri. Tutarudi tena hospital ila sio ya awali
Mkuu... Wewe hukuona haja ya kucheki kipimo chochote??
 
Kwa shilingi elf 10 tu unapata formula ya kutibu nguvu za kiume kwa matunda

Formula zipo tatu matunda au maji ya uvuguvugu na bamia au tangawizi

Njoo whats app 0712505049 nikutumie formula uanze tiba leo leo

Matokeo ni haraka ndan ya siku mbili unaanza kuona na ukipona umepona tatizo halirud sababu unatibu mfumo mzimaaa
 
Maelekezo ya ziada huwa yako kwenye label ya bidhaa wala usihofu.

Matumizi huwa ni mara mbili kwa siku... Mine eyes 🙏🏾
 
Acha pombe na sigara.
Hakikisha kabla ya kumuingilia mkeo Hana stress ya aina yoyote yaani amelanika full full.
 
kapimeni kuna magonjwa ya zinaa huwa na kawaida ya kuharibu mbegu,
 
Umenena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…