Curtis De Mi Amor
Senior Member
- Jan 9, 2022
- 136
- 514
KabisaKama ana mkataba akamshtaki kwa kukiuka mkataba.... miezi 20 umebakiza miezi minne so technically bajaji ni kama yako
Kama walipeana kishkaji imekula kwake atumie 'njia ya kimtaa' kumalizana na huyo bosi bwege...
Kama una mkataba nenda kwa mwanasheria tu simpleNi haki kweli? Kuna mdau mmoja kanipa bajaj yake kwa mkataba wa miaka 2. Yaani kila siku nimpe 20,000/=. Nimefanya kazi kwa muda wa miezi 20, huyo mdau kaninyang'anya...
Hakuwa na mkataba wa kisheria ila walikabidhiana kwa kuaminiana.Kama ana mkataba akamshtaki kwa kukiuka mkataba.... miezi 20 umebakiza miezi minne so technically bajaji ni kama yako
Kama walipeana kishkaji imekula kwake atumie 'njia ya kimtaa' kumalizana na huyo bosi bwege...
Pigia mstari, mkataba w ki undugu ni ujinga.Hakuwa na mkataba wa kisheria ila walikabidhiana kwa kuaminiana.
PACTA SUNT SERVANDANi haki kweli? Kuna mdau mmoja kanipa bajaj yake kwa mkataba wa miaka 2. Yaani kila siku nimpe 20,000/=. Nimefanya kazi kwa muda wa miezi 20, huyo mdau kaninyang'anya...
Asiangaike, ategemee tu huruma ya mwenye chomboHakuwa na mkataba wa kisheria ila walikabidhiana kwa kuaminiana.
Shida ipo hapaHakuwa na mkataba wa kisheria ila walikabidhiana kwa kuaminiana.
30x20×20,000= 12MNi haki kweli? Kuna mdau mmoja kanipa bajaj yake kwa mkataba wa miaka 2. Yaani kila siku nimpe 20,000/=.
Nimefanya kazi kwa muda wa miezi 20, huyo mdau kaninyang'anya chombo kwa Madai anamadeni benki hivyo inabidi aiuze ili apunguze deni.
Nimejaribu sana kufuatilia kwa watu mbali mbali kuona ntasaidiwaje ila kote bila bila.
Naombeni ushauri wenu kwa wenye uelewa zaidi.
N.B HILI BANDIKO NI LA MDAU AMBALO NIMESHARE NANYI.
Ukikosa haki yako chukua sheria mkononi kiakili sana.Ni haki kweli? Kuna mdau mmoja kanipa bajaj yake kwa mkataba wa miaka 2. Yaani kila siku nimpe 20,000/=.
Nimefanya kazi kwa muda wa miezi 20, huyo mdau kaninyang'anya chombo kwa Madai anamadeni benki hivyo inabidi aiuze ili apunguze deni.
Nimejaribu sana kufuatilia kwa watu mbali mbali kuona ntasaidiwaje ila kote bila bila.
Naombeni ushauri wenu kwa wenye uelewa zaidi.
N.B HILI BANDIKO NI LA MDAU AMBALO NIMESHARE NANYI.
Basi jamaa katumia ushetaniHakuwa na mkataba wa kisheria ila walikabidhiana kwa kuaminiana.
Mungu atamsamehe Tena atafute Mganga konk😀Basi jamaa katumia ushetani
Amuendee tu kwa mganga
Aende nae kishetani shetani hivyo hivyo
Hahh kabisaMungu atamsamehe Tena atafute Mganga konk😀
Tafuta mwanasheria akusaidieNi haki kweli? Kuna mdau mmoja kanipa bajaj yake kwa mkataba wa miaka 2. Yaani kila siku nimpe 20,000/=.