Msaada: Niliingia mkataba wa bajaji kwa miaka miwili, baada ya miezi 20 nimepokonywa bajaji

Bro hapo kasha poteza, na nyinyi tafuteni mtu mwenye ka wadhifa kidogo.

Ila ndo Ina enda kuwa criminal case tu, maana kuumizana ni rahisi.

Siku nyingine usi fanye biashara kwa maneno au kuaminiana kwa mdomo,
Hela haija wahi muacha mtu salama
 
Polen Sana kamwe usimuamini MTU kwenye pesa makubaliano au makabidhiano yoyote Ni vyema yawe kwa maandishi ili kulinda Pande zote
 
Kabla ya kwenda popote, je hiyo 20k kwa siku ulikuwa unaitimiza??

Na kama ulikuwa unaruka mara kwa mara je ulikuja kufidia bila kukosa?? Tuanzie hapo kwanza
 
Kwa siku ulikuwa unampelekea 20,000/=
Je wewe na familia yako mlikuwa mnapata ngapi kwa hiyo siku moja?

Isije ikawa kila siku mlikuwa mnagawana pasu kwa pasu (50-50)?!?
 
Nyie Watu ni wapole mimi ningekiwasha mpaka kila mtu angeshangaa.
 
"mkataba wa mdomo!!!! " hapo Achana nae.

Okoa muda na nguvu zako.
Chukulia kama somo "learned hard way"
Tafuta jambo jingine ufanye.
Mtalipana kwa Mungu
 
Nime waza kwa kina, Kama Kuna ushahidi wa vitu hivi.

01, ushahidi wa message ziki onyesha malipo yalii fanyika kutoka kwa dereva kwenda kwa bosi.

02, je boss wa chombo hicho ana mke??, mke alikuwa ana kujua ??Kama ndio basi hapa ndo loop hole yako??.
Tafuta polisi mtie 10k, muibikieni mke akiwa nyumbani, Kisha mumbembe aka hojiwe kwa kuminywa kidogo.
Ata kiri na ushahidi urekodiwe kwa video, sauti, na maandishi.

03, kafungue jarada la madai mahakamani chap,
Kisha mueleze hakimu Hali halisi, mzee una shinda Curtis De Mi Amor
 
Kama una mkataba wa kisheria na mashuhuda unao una kila sababu ya kumfungulia mashitaka
Hiyo bajaji kwa asilimia 90 ni mali yako
 
Rejesho la elfu ishirini ulikuwa unapeleke kila siku???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…