kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 3,607
- 9,430
Yeah,mi moja ukitoka mshahara mkuuAisee.
Nazipenda sana ila nakunywa moja kwa siku 1 au 1 kwa siku 2. Huyu mdau kazidisha uraibu.
Ha hahahahahaYeah,mi moja ukitoka mshahara mkuu
Umelipia tangazo?Habarini za mchana,
Wakuu mimi huwa situmii pombe, ni juice na soda tu na soda yangu pendwa ni Pepsi.
Kila siku huwa nakunywa Pepsi tena napenda ikiwa baridi sana. Nilianza kunywa moja kwa siku, ikaja mbili ikaja 3 now nakunywa nne kwa siku; mbili mchana na mbili usiku. Hizo mbili nakunywa kwa mpigo.
Nifanyeje ili kuacha? Pia Mimi sio mpenz wa chai asubuhi, niko radhi nile vitafunwa vikavu au na maji au soda, na usiku siwezi kulala bila kunywa maji baridi-huwa nalala na jug la maji pembeni.
Nikinywa maji baridi akili huwa inarelax, nalala kwa haraka tofaut na nisipokunywa maji. Nifanyeje?
Hiyo ni hatari. Unatengeneza mazingira ya kuja kusumbuliwa na Kisukari.Habarini za mchana,
Wakuu mimi huwa situmii pombe, ni juice na soda tu na soda yangu pendwa ni Pepsi.
Kila siku huwa nakunywa Pepsi tena napenda ikiwa baridi sana. Nilianza kunywa moja kwa siku, ikaja mbili ikaja 3 now nakunywa nne kwa siku; mbili mchana na mbili usiku. Hizo mbili nakunywa kwa mpigo.
Nifanyeje ili kuacha? Pia Mimi sio mpenz wa chai asubuhi, niko radhi nile vitafunwa vikavu au na maji au soda, na usiku siwezi kulala bila kunywa maji baridi-huwa nalala na jug la maji pembeni.
Nikinywa maji baridi akili huwa inarelax, nalala kwa haraka tofaut na nisipokunywa maji. Nifanyeje?
Ikiwa ya baridi na hili jua si unaelewa lakini?😅
Mimi namshukuru Mungu ki ukweli nimeweza....naweza maliza hata wiki sijanywa soda..Maajabu sasa nikija kuinywa chupa simalizi...
Sasa hivi nimekuwa addicted na chai jamani...Nazeeka🤣
Na akiweza kuji'control kwenye soda na kg's pia zitapungua...Nilikuwa addicted na pepsi, nikaamua kuacha mara moja pasipo kujishauri. Sasa hivi nikihisi kiu nakunywa maji.
Hapo kwenye chai, sijui ndo kuzeeka kwenyewe msemo wako.
Nisipokunywa tangawizi jioni sijisikii poa, hata kuwe na joto namna gani.
💯💯Na akiweza kuji'control kwenye soda na kg's pia zitapungua...
Mimi ni chai hata mchana....Kahawa tu majani siwezi...😄
Sawa kabisa shem wangu!Tujipongeze tu Shem...
Unaelewa haikuwa rahisi Mzee mwenzangu😅
Pole, jitahidi upunguze hicho kiwango! Sio nzuri kwa afya hasa kama upo kwenye umri mkubwa kidogo(40+)😂😂Ndiyo
Kawaida tu ila jita hi idi upunguzeHabarini za mchana,