Curtis G
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 415
- 544
š¤£š¤£š¤£ dah!Kuna 496,000 ilijichanganya ikazama kwa mpesa, sekunde hiyo hyo nikaichomoa nikazima na simu. Nakuja kuiwasha kesho yake nakutana na sm7 kama 100 za kunibembeleza nirudishe, na muda huo nishanunua na kreti za bia.