Mtanzania2020
JF-Expert Member
- May 23, 2020
- 817
- 1,752
Katafute forever multi macaWapendwa naomba msaada nimeishiwa nguvu za kiume miezi miwili sasa hata nimekuwa kero kwa mwenza wangu. Uume umepungua hata ningebanwa mkojo haustuki unabaki umelegea.
Maumivu ya kiuno ni makubwa na hayo yana zaidi ya miaka kumi. Hospitali wamekuwa wakinipa dawa za kupaka tu na za maumivu.
Asante..Anapatikana wapi?
AsanteKatafute forever multi maca
+255 755 116 766Wapendwa naomba msaada nimeishiwa nguvu za kiume miezi miwili sasa hata nimekuwa kero kwa mwenza wangu. Uume umepungua hata ningebanwa mkojo haustuki unabaki umelegea.
Maumivu ya kiuno ni makubwa na hayo yana zaidi ya miaka kumi. Hospitali wamekuwa wakinipa dawa za kupaka tu na za maumivu.
Hawakusema labda hizo ni dalili za ugonjwa fulani?Zaidi ya kunipa dawa za kuchua na maumivu hakuna kingine
Wapendwa naomba msaada nimeishiwa nguvu za kiume miezi miwili sasa hata nimekuwa kero kwa mwenza wangu. Uume umepungua hata ningebanwa mkojo haustuki unabaki umelegea.
Maumivu ya kiuno ni makubwa na hayo yana zaidi ya miaka kumi. Hospitali wamekuwa wakinipa dawa za kupaka tu na za maumivu.
Asante kwa ushauriPole ndugu.
Fanya hivi, chukua likizo ya 30 days bila kusex wala kuchungulia video za ngono. Ikiwa utafanya ivo for 90 days utapona kabisa.
Muhimu zingatia lishe bora, matunda, Maziwa na kupata muda wa kutosha kupumzika. Punguza mawazo nakujishtukia kuwa huna nguvu, relax bana.
AsanteTibu kwanza hayo maumivu ya kiuno, nitakupa ushauri.
tulia weweWewe sio member wa chaputa?
Hawakusema ila baadhi ya watu wanasema labda ni dalili ya tezi dume au kufeli kwa figo na wengine wasema ni dalili ya sukariHawakusema labda hizo ni dalili za ugonjwa fulani?
tulia wewe
AsanteDawa ya mitishamba, ebu chukua ndevu za kwenye mahindi ziko pembeni mwa mhindi halafu nenda kwenye midizi kuchukua ndevu utaziona pembeni wa mkonga wa ndizi weka kwenye sufuria weka maji chemsha kunywa hayo maji asubuhi pumzika na jioni kunywa halafu cheki mazingira kama mnara unasoma hii ina nguvu sana
We jamaa unataka kuua watuDawa ya mitishamba, ebu chukua ndevu za kwenye mahindi ziko pembeni mwa mhindi halafu nenda kwenye midizi kuchukua ndevu utaziona pembeni wa mkonga wa ndizi weka kwenye sufuria weka maji chemsha kunywa hayo maji asubuhi pumzika na jioni kunywa halafu cheki mazingira kama mnara unasoma hii ina nguvu sana