We phaller nimekumiss halafu sikupati watsap..!!Alikuwa kwenye gari ya work mate wake seat ya abiria, work mate akampa hela amlipe pump attendant mkeo alipopewa risiti akadumbukiza kwa hand bag yake.
Naomba msaada juu ya hii risiti. Nimekuita kwenye mkoba wa mke wangu nimeumiza kichwa ila bado sijapata jibu sahihi naona tu TRA na hiyo Sheri na mke wangu hana usafiri wowote naomba mnifumbue macho.
Ndoa haziendi hivyo, mke anatakiwa kuwa rafiki yako, hivyo vitu kama hivi unamuuliza tuu kama rafiki.
Umefata nini huko?Naomba msaada juu ya hii risiti. Nimekuita kwenye mkoba wa mke wangu nimeumiza kichwa ila bado sijapata jibu sahihi naona tu TRA na hiyo Sheri na mke wangu hana usafiri wowote naomba mnifumbue macho.
Naomba msaada juu ya hii risiti. Nimekuita kwenye mkoba wa mke wangu nimeumiza kichwa ila bado sijapata jibu sahihi naona tu TRA na hiyo Sheri na mke wangu hana usafiri wowote naomba mnifumbue macho.
Ahaaaa😁😁😁Sawa, sasa yeye hana usafiri wowote imefikaje kwake
Kabisa maana hii sasa ni kuwindana... je ingekuwa risiti ya gesti?Ndoa haziendi hivyo, mke anatakiwa kuwa rafiki yako, hivyo vitu kama hivi unamuuliza tuu kama rafiki.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Sawa, sasa yeye hana usafiri wowote imefikaje kwake
Psychological bombUmesearch mkoba wa mke wako??? UNATAFUTA KUFA KWA PRESSURE WEWE.... atakuwa amelipia Lodge akaliwa mzigo.