Msaada: Nimekuta risiti kwenye mkoba wa mke wangu, naomba kuitambua

Hivi mwanaume unaanzaje kupekua mkoba wa maanamke?
 
Mimi huo ujinga wa kusema usimuchunguze mke wako sikubaliani nao, nitamvhunguza sana tu na ninafanya hivyo na nikigundua anachepuka ndo mwisho siwezi lea ujinga na nilishamwambia siku nikikukamata lazima nikutie ulemavu kwa kukukata mkono au mguu.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Kama ana biashara yoyote inayotumia EFD machine.ametafuta risiti ili apate punguzo la kodi.kutokana na matumizi ya usafiri
 
Kasoro mimi tuu ndio sina
Mshana ww naku-appreciate sana. Karibu R-Chuga tufahamiane zaidi. Mungu anaweza kubariki kufahamiana kwetu kama brothers na visionaries.. na mimi nikakubariki na ndinga moja nzuri ya uhakika kabisa.
 
Anaanzaje kumuuliza?
Mkiwa marafiki, unafanya kama utani tuu. Mfano mbona unapendeza na smile kubwa mke wangu hembu niangalie kwenye pochi, nisije kuibiwa mke, unafanya hivi mbele yake, kiutani
 
Kuna masela wengine nimazwazwa sasa risiti ya Mafuta kapaniki!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeongea vizuri nimependa comment yako
Wewe ndio zwazwa na akili hauna .... Wewe Kama mwanaume unatakiwa kuhakikisha unailinda na kuitunza familia yako kwa nguvu na gharama yoyote ile na pindi uonapo viashiria vya kuharibu familia yako lazima uvifanyie kazi kuhakikisha usalama upo.

Kwa hiyo jamaa kupekua huenda sio kawaida yake ila tu siku roho ikamtuma afanye hivyo na ndio siku aliokutana na hicho kitu.

Nilicho gundua tatizo la wanaume wengi humu mmeolewa na wanawake hata mkiwafuma wanapigwa miti hamna kitu mtaongea Wala kufanya.
 
Kuna masela wengine nimazwazwa sasa risiti ya Mafuta kapaniki!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeongea vizuri nimependa comment yako
Tena kijikaratasi......anapata presha....
Kuna watu wanajitakia maisha magumu na kuishi kwa stress

This life is too short to stress na vitu vya kijinga...
Omba ushauri mke karudi usiku..
Mke sijui jeuri
Mke analiwa...
Mke sijui mvivu ..mwizi etc

Kikaratasi??[emoji1787][emoji1787]
Tena ukute naye kakiokota tu mahali alitaka akitumie kuandika kitu kajisahau kakitia kwa pochi[emoji23]

Ndo haziendi hivi aisee unless jamaa alishaanza kususpect jambo kwa mkewe so bado yuko kwenye upelelezi

Stop being complicated guys...mtakufa na visukar na mapresha ya kujitakia kisa wivu ambao hauna kichwa wala miguuu[emoji1]
 
Huna akili ndo nyinyi mnapigishwa deki na wake zenu kifala
 
Imepeperushwa na upepo ikaingia kwenye mkoba wa mkeo na dirisha la upande wa mkeo lilikuwa wazi.. Mkeo hana hatia wala hamjui mwenye hiyo risiti. Chill usijipe heart attack kwa miujiza ya dunia.Upepo sio mchezo.
 
Unapiga sachi pochi ya wife? Au ilitokeaje wewe kuingia ndani ya pochi yake.
 

We poyoyo kweli aise, kwaiyo kutunza au kulinda familia ni kuchunguza mkoba wa mkeo? Acha ufala kama baba ako yupo muulize kama alishawai kufungua mkoba wa mama yako ebo.... kwaiyo huo ndo uwanaume kusachi mkoba wa mkeo? Nyie ndo marioo pumbavu kabisa na ulikuwa unataka umzame uwibe ela ukakutana nacho jikaze fwala wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…