Lihakanga
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 4,823
- 6,416
Uko sahihi mkuu, kama alivyo babako na mamako. Ni wapumbavu mwanzo mwisho.Ndoa ni taasisi iliyojaa watu wapumbavu sana au nasema uongo mabachela wenzangu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uko sahihi mkuu, kama alivyo babako na mamako. Ni wapumbavu mwanzo mwisho.Ndoa ni taasisi iliyojaa watu wapumbavu sana au nasema uongo mabachela wenzangu...
Gari ya ofisini au ofisi imemlipa hela ya usafiri wamedai risit ameenda station wamfanyie mchongoSawa, sasa yeye hana usafiri wowote imefikaje kwake
😂😂😂 Hapi new year kwanza… nakutext mwaya kabla hujalala 😜We phaller nimekumiss halafu sikupati watsap..!!
Mimi huo ujinga wa kusema usimuchunguze mke wako sikubaliani nao, nitamvhunguza sana tu na ninafanya hivyo na nikigundua anachepuka ndo mwisho siwezi lea ujinga na nilishamwambia siku nikikukamata lazima nikutie ulemavu kwa kukukata mkono au mguu.Unamuuliza baada ya kupekua mkoba wake bila ridhaa yake? Hapo moto lazima uwake ulikuwa unatafuta nini kwenye mkoba wake bila ruksa yake?
Kifupi huyo mume Bwege na haba akili za kuishi na mwanamke
Biblia imeagiza wazi kuwa enyi waume ishini na wake zenu kwa akili .Huyo mwanaume akili hana
Na mwanaume ukisikia ooh mimi sioi akili hana ya kuweza kuishi na mwanamke
Vitu private kama mkoba wa kike,simu na pochi ya mwanaume na simu yake vibaki private
Mwanaume alichofanya ni utoto na asirudie tena akome kabisa kama hakufunzwa arudi akafunzwe
Dah mnatafutana mpaka WhatsApp.We phaller nimekumiss halafu sikupati watsap..!!
Mshana ww naku-appreciate sana. Karibu R-Chuga tufahamiane zaidi. Mungu anaweza kubariki kufahamiana kwetu kama brothers na visionaries.. na mimi nikakubariki na ndinga moja nzuri ya uhakika kabisa.Kasoro mimi tuu ndio sina
Mkiwa marafiki, unafanya kama utani tuu. Mfano mbona unapendeza na smile kubwa mke wangu hembu niangalie kwenye pochi, nisije kuibiwa mke, unafanya hivi mbele yake, kiutaniAnaanzaje kumuuliza?
Wewe ndio zwazwa na akili hauna .... Wewe Kama mwanaume unatakiwa kuhakikisha unailinda na kuitunza familia yako kwa nguvu na gharama yoyote ile na pindi uonapo viashiria vya kuharibu familia yako lazima uvifanyie kazi kuhakikisha usalama upo.Kuna masela wengine nimazwazwa sasa risiti ya Mafuta kapaniki!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeongea vizuri nimependa comment yako
Ni mkoba wa mke wake sio demu wakeHivi mwanaume unaanzaje kupekua mkoba wa maanamke?
Tena kijikaratasi......anapata presha....Kuna masela wengine nimazwazwa sasa risiti ya Mafuta kapaniki!!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umeongea vizuri nimependa comment yako
Unataka kutafutwa watsap.? Ongea tu na sisi wenye bahati vizuri.!!Dah mnatafutana mpaka WhatsApp.
Hizi bahati za kufatana WhatsApp huwa wanazipataje?
#YNWA
Huna akili ndo nyinyi mnapigishwa deki na wake zenu kifalaUnamuuliza baada ya kupekua mkoba wake bila ridhaa yake? Hapo moto lazima uwake ulikuwa unatafuta nini kwenye mkoba wake bila ruksa yake?
Kifupi huyo mume Bwege na haba akili za kuishi na mwanamke
Biblia imeagiza wazi kuwa enyi waume ishini na wake zenu kwa akili .Huyo mwanaume akili hana
Na mwanaume ukisikia ooh mimi sioi akili hana ya kuweza kuishi na mwanamke
Vitu private kama mkoba wa kike,simu na pochi ya mwanaume na simu yake vibaki private
Mwanaume alichofanya ni utoto na asirudie tena akome kabisa kama hakufunzwa arudi akafunzwe
Wewe ndio zwazwa na akili hauna .... Wewe Kama mwanaume unatakiwa kuhakikisha unailinda na kuitunza familia yako kwa nguvu na gharama yoyote ile na pindi uonapo viashiria vya kuharibu familia yako lazima uvifanyie kazi kuhakikisha usalama upo.
Kwa hiyo jamaa kupekua huenda sio kawaida yake ila tu siku roho ikamtuma afanye hivyo na ndio siku aliokutana na hicho kitu.
Nilicho gundua tatizo la wanaume wengi humu mmeolewa na wanawake hata mkiwafuma wanapigwa miti hamna kitu mtaongea Wala kufanya.
Anaogopa kudanganywaSasa we si umuulize mwenyewe au unaogopa atakudunda..?[emoji23]