Msaada: Nimelikanyaga, uume unatoa usaha

Yaani mi nko Arusha naendelea na maisha yngu kumbe kuna jemba znaenda home mbeya kunigongea dada zangu.



POLE MKUU WAHI HOSPITAL HILO NI GONO MUBASHARA TO THAT EXTENT
 
Na Sindano zake zinaumaje?? Unachomwa matako yote mawl at a time, nenda mbio ukapime na viruses km vile HIV na Hepatitis..[emoji125]
Dah ndg zangunu naogopa sasa kuchek na huo Ukimwi sasa
 
Pole mkuu. Punguza kupiga kavu. Daaah. Alafu ukirudi kwa mkeo unataka alinyonye. Maaanina. Sisi wanaume sijui nani katuloga. Alafu huo mkoa unavyosifika kwa ngoma sijui ksma umenusurika
Hata cjielewi ndg itakuwaje kama nikipima ngoma itakuwaje pia.
 
Paka asali mbichi Mzee hasbuhi na jioni , Unapaka dushee lote kuanzia kwenye sina mpaka kichwani, siku tatu tu Upo Sawa.
Ni kweli eeeeh ahsante sana kama itanisaidia
 
Nilikuwa na miadi na mrembo Fulani hadi mzuka umekata
[emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45] [emoji45]
 
Kwa hali hiyo bora kupiga punyeto tu ukiwa safarini.
Jamani Tusiidharau Punyeto kuliko kutafuta kifo kirahisi namna hii.
Kweli kabisa ndg kama mimi ninaepaya maumivu haya ni bora iwe nafanya ivo tuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…