Msaada: Nimepata fangasi kwenye ulimi

Aisee mimi pia napatwa na tatizo hilo mdomo unachanika na nimeambiwa ni fangasi kuhusu kufanya ngono last time ilikua nwezi wa kwanza nipo mbali na wife so sijawahi hata kumbusu mwanamke so mtu anapotoa ushauli azingatie hili
nawe unapatwa na utando huo mweupe au kuchanika tu kwa mdomo pekee na husikii maumivu yyte lakn...? maana mm sisikii maumivu yyte kbsa
 
nmekuelewa mkuu ngja nisuniri nimalize hizi dawa kama itakua hakuna mabadiliko niende zahanati nionane na daktari maana huo weupe upo lakn sipati maumivu ya aina yyte yaan
 
E bwana kwema wakuu? Nna week ya pili inaenda hii nimepata fangasi /weupe kwenye ulimi sasa nilienda pharmacy nikaambiwa nI fangas

Wafamasia wamekuambia ni fangasi, lakini wametumia uzoefutu tu na sio kwamba wamefanya diagnosis za utabibu...

Kama alivyoandika mdau mmoja hapo juu (ingawa kataja zinaa pekee), fangasi haswa ya kinywa hueza kuwa ni kiashiria cha uwepo wa magonjwa au vimelea vya magonjwa mengine yanayoshusha kinga, ukavu wa koo na mdomo n.k...

Nenda kwa madaktari wa koo na kinywa wakutazame...
 
sawa mkuu ngja nimalizoe hii dawa nlopewa week ojayo nijitafute niende zahaant kuonana na daktari mkuu
 
Unapeleka ulimi kwenye papuchi inayotoka utoko wa manjano lazima upate fungus.

Pole sana kamuone daktari
hapana sijawahi mkuu kufanya hvo hala
Unapeleka ulimi kwenye papuchi inayotoka utoko wa manjano lazima upate fungus.

Pole sana kamuone daktari
hapana mkuu siajwahi kulamba papuchi bhna πŸ˜‚πŸ˜‚ labda uniambie nimeambukizwa kwa kula denda sawa
 
sawa mkuu ngja nimalizoe hii dawa nlopewa week ojayo nijitafute niende zahaant kuonana na daktari mkuu

Fangasi huwa haiishi kwa wiki 1 au 2 hivyo nakushauri umuone daktari hata kabla hujamaliza hiyo dawa uliyopewa, ingekuwa ni fangasi juu ya ngozi labda ungesikilizia...

Dawa uliyopewa inaweza ikafanya kazi lakini isimalize kumea upya kwa fangasi na ndio maana ikijulika underlaying cause inakuwa rahisi kutibiwa...
 
sawa nmekuelewa mkuu basi haina haja ya kusubr ngja nianze mchakato sas hv tu niende kuonana na daktari zahanati aisee
 
Achana na pharmacy, nenda hospitali upate tiba sahihi baada ya uchunguzi thabiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…