fundi bishoo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2018
- 14,264
- 27,132
- Thread starter
- #21
nawe unapatwa na utando huo mweupe au kuchanika tu kwa mdomo pekee na husikii maumivu yyte lakn...? maana mm sisikii maumivu yyte kbsaAisee mimi pia napatwa na tatizo hilo mdomo unachanika na nimeambiwa ni fangasi kuhusu kufanya ngono last time ilikua nwezi wa kwanza nipo mbali na wife so sijawahi hata kumbusu mwanamke so mtu anapotoa ushauli azingatie hili