Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 3,343
- 7,516
Boss, hapa ndo wengi hawapajui, washikaji kibao wanasota kitaa baada ya mkataba kuisha na kutemwa na hao WMA. Ni kama Tanroads, operators wa mizani.Hao WMA sii ni ajira za muda hizo. Mkataba wa mwaka mmoja,. Komaa na mwendokasi utakuja lia
Hizo per diem zinaishia kwenye starehe tu, angalau wizi wa mafuta unafanya kila siku.