The ice breaker
JF-Expert Member
- Apr 20, 2023
- 880
- 1,985
Aseee Kuna hii kitu imetokea kwenye Tupu yangu, inaweza ikawa ni tatizo gani
Kumradhi, nimeambatanisha na picha
=====
Kumradhi, nimeambatanisha na picha
=====
Kuna vitu mtu hatakiwi kuvifanyia masihara wewe nenda hospitali ndiyo sehemu sahihi.
Wahi hospitali maana hivyo vingine navyo vinanyemelea kukua.
Ukute ni magonjwa ya zinaa. Jikaze uende hospitali.