Msaada: Nimepewa siku 30 niondoke nyumbani kwa Baba mkubwa

Rudi kijijini
 
Chai......
 
siasa
 
Mkuu niunganishe na huyo sista wako
 
Mimi Kama sitaki uje kwangu nitakuwekea kila sababu usikarbie hata geti langu
Ila once nikikubali uje kwangu utakula utakunywa mpka ufanikishe michongo yako ..kua na Tabia nzuri Ni mhumu ukikaa kwa watu
 
Tengeneza tatizo hapo nyumban alafu litatue ili aendelee kuwa na imani na wewe kama vile serekali ya CCM inavyo fanya.

Kama vipi tengeneza hata waizi feki waje alaf uwatoe baruti
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
sijawahi kukaa kwa ndugu zaid ya siku3,,, hata nipigike vipi siwezi kwenda kuishi kwa ndugu ni bora ninyongwe tu
 
Kwanini hukufanya bodaboda mambo yalipo anza kwenda mrama ??
 
Kwanini hukufanya bodaboda mambo yalipo anza kwenda mrama ??
Bodaboda ni 10K isiyo na uhakika kwa siku, wakati nilikuwa nahitajika kulipa deni la kodi ya nyumba niliyokuwa naishi wakati huo huo nilikuwa nahitajika kuhamia makazi mapya yenye nafuu ya kodi!
 
Bodaboda ni 10K isiyo na uhakika kwa siku, wakati nilikuwa nahitajika kulipa deni la kodi ya nyumba niliyokuwa naishi wakati huo huo nilikuwa nahitajika kuhamia makazi mapya yenye nafuu ya kodi!
Nilimaanisha wewe mwenyewe kuwa dereva wa hiyo pikipiki yako kwa kufanya kazi ya bodaboda wakati mambo yameanza kwenda kombo. Maana umesema ulikuwa na deni la kodi maana yake mambo yalianza kuharibika kwa myda flani kabla ya kuuza bodaboda na kutakiwa kuhama, haikuwa ghafla, sasa kwanini yukufanya kazi ya bodaboda wewe mwenyewe ??
 
Njoo ukae kwangu ila uje na girl friend wako masharti uwe unaondoka asubuhi unamuacha yeye. Kula bili ya maji na umeme ni juu yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…