Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,958
- 70,721
Wewe unataka kulelewa paka lini? Tena mshukuru kwa kukuvumilia huo mda wote......tafuta maisha kijana wengine at 20yrs tulikua tumesha zamia nchi za watu na no father no mother no relative ni wewe na juhudi zako tu, sembuse hapa bongo kila mtu anaongea kiswahili......mimi nasema hivi nipeleke popote hapa tz bila kitu chochote unipe miazi 6 tu ntafanikiwa maisha na kununua na piki piki ya 1.5m ya usafiri wangu.
Bongo maisha ya substance ni simple sana labda kama unatafuta utajiri ndo issue tu.
njoo pmAise hata mm nasema ninaweza ishi popote...yaan tena tz kuna sehem unaishi no stress...yaan popote naishi bila hofu hata nukta .na nikitkka huko nimenawiri balaa...kuliko kukaa mijini strss tupy
Nimekujibu mamy ..sema nimeifuta tu naina hasira .alinikwot 3angels isome huko unijibkhaaa ndo yamekuwa haya tena
Yes...yaan am strong mnoMshukuru sana Mungu
Ulichopitia ndio kimekufanya kuwa Wangari Maathai
Wewe hulipi kodi na yeye anataka hela.Hamna Kitu ila tuu alichonielezea chumba ninachokaa anataka kukifanyia ukarabati anataka kuna mpangaji atakuja kuhamia alishampa kodi yake
Nakupenda okay ?aisee hebu stop this.
no siyo qoute yakoNimekujibu mamy ..sema nimeifuta tu naina hasira .alinikwot 3angels isome huko unijib
Hutak ndoa eh?🙄no siyo qoute yako
namshangaa huyu jamaa anaeniletea mahaba hapa
HahahahaaHujishughulishi na chochote kazi kukaa tu sebleni na vivest tu
Ndio muulize shoga akoHutak ndoa eh?🙄
hahahhaaaa nimecheka yarabHutak ndoa eh?🙄
Mchagua nazi huangikia koroma 😍😍hahahhaaaa nimecheka yarab
kuna muoaji humu?
Tupogi strong sababu tulipitishwa sehemu ngumu na tukashindaYes...yaan am strong mno
Hii imekaa vizuri sana kuna kitu cha kujifunza hapa👊Mkuu ukikaa Kwa watu , Kwa bro , au Kwa sista ,au Kwa ndug yyte hata rafk tuu, jitahd uwe mpole kabisa , yaan wew uwe Mzee wa Yes , jali mambo yako tuu....!!
Yaan hata kuleta marafk hapo home acha, kutongoza mfanyakaz usijarbu kabisa , na usiwe na mazoea saaana nao ..... Na uwe na furaha always , usinung'unike chakula sjui nn , wakikupa kazi fanya Kwa furaha...issue zako zikikaa Sawa unaamsha sasa
Eti kama kabati[emoji23][emoji23][emoji23]Kuishi Kwa ndugu ni kipaji , unakuwa kama kabati [emoji39] Leo linageuzwa hv , Kesho vile zaidi ya hapo lazima mtibuane...Mimi hata mtu akiniambia nikamtembelee alaf yupo Kwa ndug , siendi mana wote tunakuwa under guidance...may be tukutane hotelin au kwake
Duh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Niliwahi kuishi kwa dadangu damu 1 alikua ameolewa...hahaa...jaman maisha haya ..walikua wakipika wenyewe wanaenda kulia chumban na mumewe...nilikua nachota maji najaza pipa 2 ..lakini hom kwetu ni kila kona wafanyakazi..nilikonda kwakweli.inahitaji wito mno!sipend hayo maisha tena
Wakiwa wajawazito wanasumbua Sana.Walininyanyasa kinoma...alikua ana mimba ikawa inamsumbua ..so hom wakaniambia nitoke chuo niwe narudi kwake daily hana bek3 unaamka saa10 unachota maji had 12 unapga deki unapika chai unasepa chuo..yaan walinifanya kama yatima mbweha wale
Hukutakiwa hata kurudi kwa bamkubwa
Ondoka mara moja kabla hata ya huo muda wa notice kwisha na Siku nyingine usirudie huo uzembe.....,