Msaada: Nimewapa ujauzito wanawake wawili, nawapenda ila dini yangu hairuhusu kuwa na wake wawili

Chiumbe

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
566
Reaction score
828
Wakuu salamu natuamini mnaendelea na mapambano ya kila siku na mapambano ya tozo. Samahani kwa uandishi wangu mimi sio expert sana wa kujielezea kwa maandishi.

Mwaka 2019
Nilikuwa na mahusiano na binti mmoja, ambaye kwa muda huo ndiyo alikuwa main huyu tumuite R. Basi nilikuwa na mahusiano naye kama miaka miwili hivi, kufikia 2019 alihamishiwa mkoa fulani kwenye halmashauri fulan. Basi nikabaki kidume mwenyewe DSM ikaenda kama miezi sita. Basi kama ujuavyo, upweke mbaya, nikaja kuwa na mazoea na binti fulani huyu tumuite S. Basi nikawa na mazoea mwisho wa siku yakawa mahusiano na huku R hajui hili wala lile, kama Dec R akaomba likizo kuja DSM.

Sasa kwenye likizo yake 2020 akaja kujua nina mahusiano na S, ugomvi ukawa mkubwa wakaitakana huko na kutaka kuja kwangu kunifanyia fujo. Uzuri rafiki yangu alinitonya(huyu jamaa anaongea na R) baada ya ugomvi si unajua tena wanaume, kila sehem nikaenda kuomba msamaha na kumfanye amuone adui mwenzake(wazungu wansema divide and conqur). Basi baada kuona hiyo inashindwa nikamuacha R akarudi zake kazini, mimi nkipambna na S.

Sasa kwa upande wa S nikaendela nae lakini huku nikimuwaza R. Sasa kuna kipindi mambo yakaja kuwa mabaya na nikatengana na S maana nae alisafiri. Nikaendelea na shughuli zangu.

2021
Nikakutana na R si unajua tena(kiporo hakihitaji moto mwingi) nkashangaa nimerudiana na R na mapenzI shamu shamu, msamaha nIkaomba na maisha yakaendelea.

2022 Feb
Mungu akatujalia R akashika ujauzito na nikawa najipanga kwaa ajili ya taratibu za kwenda kujitambulisha. Wakati nipo kwenye harakati za kuweka mambo sawa, mara jioni nashangaa text iniangia kwenye simu yangu, na aliyenitxt S na tukaongea machache nkamsadia ya shida kuna sehemu alikuwa amekwama kipesa.

2022 June
Sasa mama watoto wang future wife wakati yupo mkoani, mazoea na yule binti S yakawa kama yamerudi na kimasiraha nikawa nimeshaweka na kipindi hicho amesema hakuwa na mtu. Kiasi fulani hakuwa mtu wa mambo mengi na mimi ndo nilimzinguaga kipind kile.

Sasa juzi hapa kaja kwangu na kuniambia kuwa ana ujauzito wangu. Yaani kama nina watoto wawili wapo njiani na kwao pia nimeambiwa natakiwa niende nikajitambulishe. Kiukwel wote nawapenda ila dini yangu hairuhusu kuwa na wake wawili, na hata kama zinaruhusu ila wao hawapatani.​
 
Wakuu salamu natuamini mnaendelea na mapambano ya kila siku na mapambano ya Tozo. Samahani kwa uandishi wangu mimi sio expert sana wa kujielezea kwa maandishi.
Mwaka 2019..
Nilikuwa na mahusiano na binti mmoja, ambaye kwa muda huo ndo alikuwa main huyu tumuite R. Basi nilikuwa na mahusiano nayo kama miaka miwili hivi.. kufikia 2019 alihamishiwa mkoa fulan kwenye halmashauri fulan. Basi nikabaki kidume mwenyewe DSM ikaenda kama miezi sita.. basi kama ujuavyo upweke mbaya, nikaja kuwa na mazoea na binti fulani huyu tumuite S .. basi nkawa na mazoea mwisho wa siku yakawa mahusiano na huku R hajui hili wala lile.. kama Dec R akaomba likizo kuja DSM.

Sasa kwenye likizo yake 2020 akaja kujua nina mahusiano na S. Na ugomvi ukawa mkubwa wakaitakana huko na kutaka kuja kwangu kunifanyia fujo. Uzuri rafiki yangu alinitonya(huyu jamaa anaongea na R). Baada ya ugomvi si unajua tena wanaume kila sehem nkaenda kuomba msamaha na kumfanye amuone adui mwenzake (wazungu wansema divide and conqur) basi baada kuona hiyo inashindanyika nikamuacha R akarudi zake kazini. Mimi nkipambna na S..

Sasa kwa upande wa S nikaendela nae lakini huku nikimuwaza R.. sasa kuna kipindi mambo yakaja kuwa mabaya na nikatengana na S maana nae alisafiri.. nikaendelea na shughuli zangu..

2021
Nikakutana na R si unajua tena (kiporo hakihitaji moto mwingi) nkashangaa nimerudiana na R na mapenzI shamu shamu .. msamaha nkaomba na maisha yakaendelea..

2022 Feb
Mungu akatujalia R akashika ujauzito na nikawa najipanga kwaa ajili ya taratibu za kwenda kujitambulisha.. wakati nipo kwenye harakati za kuweka mambo sawa.. mara jion nashangaa txt iniangia kwenye simu yang, na alienitxt, S na tukaongea machache nkamsadia ya shida kuna sehem alikuwa amekwama kipesa.

2022 June
Sasa mama watoto wang future wife wakati yupo mkoani.. Bas mazoea na yule binti S yakawa kama yamerudi na kimasiraha, nikawa nimeshaweka na kipindi hicho amesema hakuwa na mtu, kiasi fulan hakuwa mtu wa mambo mengi na mimi ndo nilimzinguaga kipind kile..

Sasa juzi hapa kaja kwangu na kuniambia kuwa ana ujauzito wangu.. yaan kama nina watoto wawili wapo njiani.. na kwao pia nimeambiwa natakiwa niende nikajitambulishe..

Kiukwel wote nawapenda ila dini yangu hairuhusu kuwa na wake wawili.. Na hata kama zinaruhusu ila wao hawapatani.​

Kama dini hairuhusu kwa nini umewapa mimba wote
 
Kama Dini Hairuhusu, Oa Kimila Au nenda Bomani hati Ya Ndoa Saini sehemu Ya ndoa Zaidi' Ya mke Mmoja mchezo kwisha...!

Kama We ni Muislam Weka wote Wawili ndani hlf Bado Wengine Kama Hao Wawili....We Mwanaume Unataka nini tena?

Kipimo cha Akili Kuoa..! Kama Unazo Akili Oa Usiogope.!
 
Lovely..wicked mate!!!
Wee jamaa mie naona tukupe urais wa chama letu la wanaume. Ni mwendo wa kuwazalisha tuu hapana kuoa. Wee hao wala wasikuoe presha. Ulisha wapa mimba hawana ujanja tena. Saka ndalama uweze kuwahudumia watoto na mama zao basi..
 
Dini yako hairuhusu kuwa na wake wawili lakini inakuruhusu kuzini na wanawake wawili?

Ifike mahala muache kuficha uchafu wenu na upumbavu wenu kwenye vivuli vya dini.

Huwa siku zote nasema, kama huyo Mungu wenu wa dini yupo, basi percentage kubwa ya atakaowachoma moto ni ninyi wanadini, wanadini ambao mnaficha maovu yenu kwenye kichaka cha imani.

Nasemaje oa hao wanawake au ukachomwe moto, mnavyoparurana hamkujua suala la dini?
 
Kama hakutaka kuzaa nao kwanini hakutumia kinga?
Kwa hiyo unamaanisha hata mke utumie kinga pala mambo unataka kuburudika tuu?

Kinga ya nini wewe wakati inapunguza utamu wa tendo kwa 30%

Wee unaweza kukubali hasara kubwa namna hiyo?

Lodge, chakula nauli hela ya salon vyote umegharamikia alafu utombee na condom! Sii bora upige nyeto tuu
 
Kama Dini Hairuhusu , Oa Kimila Au nenda Bomani hati Ya Ndoa Saini sehemu Ya ndoa Zaidi' Ya mke Mmoja mchezo kwisha...!

Kama We ni Muislam Weka wote Wawili ndani hlf Bado Wengine Kama Hao Wawili....We Mwanaume Unataka nini tena?
Kipimo cha Akili Kuoa..! Kama Unazo Akili Oa Usiogope.!
Asante lakini hawapatani kumbuka
 
Lovely ..wicked mate!!!
Wee jamaa mie naona tukupe urais wa chama letu la wanaume. Ni mwendo wa kuwazalisha tuu hapana kuoa. Wee hao wala wasikuoe presha. Ulisha wapa mimba hawana ujanja tena. Saka ndalama uweze kuwahudumia watoto na mama zao basi..
Asante mkuu lakini kwa huyu mama watoto taratibu zimeeshaza kwao nipo kama asilimia 65%
 
Dini yako hairuhusu kuwa na wake wawili lkn inakuruhusu kuzini na wanawake wawili?

Ifike mahala muache kuficha uchafu wenu na upumbavu wenu kwenye vivuli vya dini.

Huwa siku zote nasema, Kama huyo Mungu wenu wa dini yupo, basi percentage kubwa ya atakaowachoma moto ni ninyi wanadini, wanadini ambao mnaficha maovu yenu kwenye kichaka cha imani.

Nasemaje oa hao wanawake au ukachomwe moto, mnavyoparurana hamkujua suala la dini?
Asante mkuu ila kipengele maji yashamwagika
 
Kwa hiyo unamaanisha ata mke utumie kinga pala mambo unataka kuburudika tuu?

Kinga ya nini wewe wakati inapunguza utamu wa tendo kwa 30%
Wee unaweza kukubali hasara kubwa namna hiyo?

Lodge, chakula nauli hela ya salon vyote umegharamikia alafu utombee na condom! Sii bora upige nyeto tuu
Achana na ngozi mkuu
 
Hivi wewe ndio yule jamaa anayeandika 'basi' za kutosha kwenye uzi?

Wewe sio mtu wa kuoa, ingelikuwa wa kuoa bila shaka ungetulia na mtu mmoja...
 
Back
Top Bottom