Msaada: Nimewapa ujauzito wanawake wawili, nawapenda ila dini yangu hairuhusu kuwa na wake wawili

Kwahiyo dini yako inaruhusu kuzini na watu wawili?
Huu ni unafiki wa Kiafrika.
Zuchu anasema hawezi kutangaza pombe dini yake haimruhusu , sasa ukimuuliza hizo bikini ambazo unazivaa majukwaani dini yako imeruhusu hana majibu.
 
Dini imekua kichaka aisee ..fact mkuuu wambie
 
Mdogo wangu kwa jinsi ulivyo hadithia umekaa kama wewe ndio starring ila hapo kuna mawili.

Mwanzo uliwaumiza vichwa wao, means kila mmoja hawezi kwenda kukaa kizembe lazima apange mikakati ya kukuteka bwamdogo.

Hapo, What if huyo R kapewa kitu huko mkoani kaja kwako na mbinu ya mimba!?

S nae ulipotezana nae, hivi unadhani mwenye mkongojo ni wewe tuu, yaani na yeye alikuwa anakusubiria wewe baada ya madhira yote yale, sasa probably nae kaja na same mbinu.

Uliwaumiz vichwa wao, saaa wanakuumiza kichwa wewe.

Ndio maana ukileta mada kama hii hapa, watu wanaulizaga umri wako na wengine wanauliza jinisa yako [emoji23]mvulana au mwanaume.

Kafikirie hayo kabla ya dini.
 
Wala usijali mzeya wee nitakupa ukiwazalisha huku hujawaoa huo ni uninga wao wenyewe wala sitakilaumu kwa maana mwanamke ndio anaye amua either apate au asipate mimba
Nyege hazina breki
 
Lovely ..wicked mate!!!
Wee jamaa mie naona tukupe urais wa chama letu la wanaume. Ni mwendo wa kuwazalisha tuu hapana kuoa. Wee hao wala wasikuoe presha. Ulisha wapa mimba hawana ujanja tena. Saka ndalama uweze kuwahudumia watoto na mama zao basi..
Jamaa ni mwamba,tumpe Nishani 🤣
 
Basi awe tayari kwa matokeo ya nyege mshindo. Ila upuuzi wakuniambia mimba ya bahati mbaya sita ukubali ata siku moja.
Mwanamke akipata mimba ujue kaitaka.
Sometimes mnawafosi kuja geto mnawafosi kuachia goli madhara huwa hayo
 
Mkuu,Dini yako ni ipi hiyo!?
Wasomi wa elimu ya Dini tupo hapa tunaweza kuona nanna ya kukusaidia kwa muongozo wa Dini yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…