Lovelovie
JF-Expert Member
- Oct 2, 2021
- 12,582
- 26,053
Wanaume watu wa ajabu sana, hivi ukimwambia mwanamke me na ww tutakua kweny mahusiano kwa ajili ya kulana basi kipi kitapungua..... Uanaume sio kuwa na wanawake wengi sio kuharibu maisha ya watoto wa watu. Uanaume ni ukweli na uwazi.Wanawake ndio wa ajabu. They have alot to lose but wao ndio wazembe kupitiliza ikija suala la kubeba mimba.