Msaada: Nimewapa ujauzito wanawake wawili, nawapenda ila dini yangu hairuhusu kuwa na wake wawili

Msaada: Nimewapa ujauzito wanawake wawili, nawapenda ila dini yangu hairuhusu kuwa na wake wawili

Sijasoma story ila heading tu inaonyesha unafiki. Kufanya uasherati umeona Iko saw ila kuo ndo una quention religious integrity? So dini yako inaruhisu pre marital sex?
 
Mkamalizane kabisa huko kama ulivyosema
Nishamalizana nae alikuja kulala kwangu......Kumbe mke wake anamfuatilia nyuma.....mwisho wa siku mke wake kanijazia watu njeee mtoe huyo bwana humo ndani.....nakchoka na kuchoka. mzabzab shikamoo baba
 
Kuna ninintena hapa mrembo
 
Ni dini gani hiyo inayokuruhusu kumpa mimba mwanamke kabla ya kumuoa?

Yaani kuwapa mimba hao wanawake hukuona kama dini inakukataza, lakini ulipotaka kuwaoa anaona dini inakukataza!
 
Back
Top Bottom