Msaada: Nina 30,000 hapa, nahitaji kuanza biashara yoyote ile sasa hivi. Niko DSM

Ooh! Hayo matunda nayauza hivyo hivyo yakiwa raw, au natakiwa kuyakata kata ili niipate hiyo elfu saba?

Na ni kweli kuwa nitaenda kuipata hiyo faida ya elfu saba?

Inashawishi kufanya
yakate funga kweny pacel
 
Aisee!! Inabidi niende na hii plan yako, nzuri sana

Nlikua mapumziko nna kama week hivi na siku kadhaa, Ila hii weekend lazima nije na hii plan, Salute mwamba [emoji109].
 
Kama unaweza kuuza nguo za ndani chupi,sidiria,tight nicheki dm nkupe connection unapata mzgo wa kutosha tu kwa bei hyo kkoo na faida yake ni nzuri
 
Chupi chuo hutouza sana labda uje maeneo ya stendi kama apa mbezi mwisho nilipo mimi
Hata mm nilitaka kusema hivo kwa chuo ni ngumu maana biashara itakuwa ya msimu bora aende sehem zenye mkusanyiko wa watu wengi kama hapo mbezi mwisho auze zile chupi za 1000
 
Hapo eka mkeka tu, man city over 1.5
Girona to score 0.5 over
Chelsea 0ver 2.5
Jaribu hii biashara kwa huo mtaji wako
 
Uza uji maeneo ya sokoni asubuhi na jioni , location inategemea na ukaribu ulipo manzese, tandika , mabibo, k.koo n.k utakuwa na uhakika wa kufunga 10k -15k kwa siku kama faida , utakuja kunishukuru baadae!
 
Mtaji umeukalia la muhimu uwe msafi
 
Kwa attitude hii, I guarantee you utafanikiwa lazima!
 
Toa buku 3.5 kanunue beseni.

Hio 26500 nenda mahakama ya ndizi kanunue ndizi mbivu pitisha kitaa.

Nunua za buku buku uza mia mbili

Ukiuza zote utakuwa umedouble mtaji.

Anza Sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…