Basi waliokushauri uache punyeto wanascore 85% ya psychological advice juu yako. Angalia usije ukaishia kusikia ukiitwa uncle tu na si daddy 😆😆Mara ya mwisho nilitongoza live 2015. Nikaapa sitarudia tena niliaibika sana
Hapa nakubaliana nawe, lakini sehemu nyingine sijaona madini mkuu. Alafu just to remind you a person can't be shaped by drinking once in a life time. Kila kitu kinatakiwa kifanyike regularly ili ujitambue na kujishape upo hapo?Kwa kijana Kama hajawai kutumia kilevi chochote huyo hajawai kuishi...
Vilevi vinasaidia Sana ku shape mtu kua real
Even once in ln the Life time..
Sawa mkuuHapa nakubaliana nawe, lakini sehemu nyingine sijaona madini mkuu. Alafu just to remind you a person can't be shaped by drinking once in a life time. Kila kitu kinatakiwa kifanyike regularly ili ujitambue na kujishape upo hapo?
Watakuvamia hao..ACHA KUPIGA NYETO . Utakuja kunishukuru mbeleni .. nyeto inaondoa kujiamini .
Acha kujichua anza nofap challenge ukiweza kufikisha siku 66 bila kujichua utaona mabadiliko ya awali hali ya kujiamini inaongezeka kama ulikua unaonea aibu mademu utashangaa unaongea nao huku una maintain eye contact wao ndo wataanza kuangalia pembeni kwa aibu.
Semen retention ina faida kubwa sana hata sauti itabadilika inakua ya kiume zaidi, hiyo asili pia ninayo ila sahivi nimeweza kuishinda japo haiwezi kuondoka yote kama ni asili yako.
Ukikosa sana aibu unakua mtu mpumbavu na aibu ikizidi sana pia inakua siyo fresh hasa kwa mwanaume
Kwa kijana Kama hajawai kutumia kilevi chochote huyo hajawai kuishi...
Vilevi vinasaidia Sana ku shape mtu kua real
Even once in ln the Life time..
Comments zenu zimenisikitish sana..Basi waliokushauri uache punyeto wanascore 85% ya psychological advice juu yako. Angalia usije ukaishia kusikia ukiitwa uncle tu na si daddy 😆😆
Kwasababu umeongelea visivyoongelewa hasa katika mazingira yetu haya, kwenye ya malezi na makuzi.Umevutiwa na kipi binti kiziwi
Don't take things seriously bro, some are here to make fun of others as time goes on maisha yaendelee. Ushauri unapotolewa haimaanishi unafanya hilo jambo linaloshauriwa. Always digest what you hear and take only productive thoughts.Comments zenu zimenisikitish sana..
View attachment 2935645
Comments zenu zimenisikitish sana..
View attachment 2935645
Sio tu kununua awe anaenda hata massage kule anaeza hata piga nao story akawq mzoefu zaidiAnza kununua mayala wakufunze mapenzi na maneno machafu wakati unapyesa, aibu itakuisha. Practices makes perfect
Karibu binti kiziwi,nkupe elimuKwasababu umeongelea visivyoongelewa hasa katika mazingira yetu haya, kwenye ya malezi na makuzi.
Kwahiyo naamini unafahamu zaidi, which niko hapa kujifunza.
Endelea kusubiri unavyotaka uambiwe mkuu..Kivipi, na nini kifanyike
Toa ushauri unaotekelezeka usiseme yoga
haya, nitaangalia yoga ipojeEndelea kusubiri unavyotaka uambiwe mkuu..
Mkuu,yoga is nothing special..isikutishe..is just a tool ya kukusidia wewe kuufungua mwili wako ili uweze ku experience consciously zile unconscious emotions ambazo zimejificha..haya, nitaangalia yoga ipoje
Mkuu wewe ni me au ke?.samahani lakiniPole sana.
Wakati nasoma soma nilikua Representative na mwenzangu wa kike. Kwenye vikao tulikua tunalipwa 5K lakini hadi natoka kwenye uongozi sikuwahi kuhudhuria hata kikao kimoja huyu dada ndo ilibidi awe ananiwakilisha.
But the worst ni kwamba nashindwa kudai watu madeni. Kuna watu kibao nawadai hela ila sijui nawaanzaje kuwadai daaaah. Yaani nabaki nasononeka rohoni. Naokopa ninao wadai badala wao ndo waniogope
Ndio namna pekee ya kumchangamsha😂Unataka wamuwambe mabanz mkuu?