Hiyo nafanya ni wiki sasa ila bado bila bilaSikia Sasa kuanzia kesho acha kubeti,achana na forex trade,Anza kula miogo kumi asubuhi,kunywa maji mengi achana na pombe au sigara,mchana kula ugali na dagaa au tembele usiku,kula matunda matango karoti na tikiti tafuna na mbegu kesho nipe matokeo ili nikushauri zaidi,pia unaweza kutafuna karanga na mbegu za maboga nataka nijue wewe Ni mwanaume kwa asilimia ngapi,ukiweza kunywa na mchuzi wa pweza kabisa
Oooh na upo tayari kuacha,au unataka tiba kisha uendeleze ligi!?Ndio nishawahi
dronedrake njoo uone madhara ya puchu huku.Mimi ni kijana miaka 26 nina tatzo la nguvu za kiume linanitesa sana mpka nakosa raha, uume hausimami kabisa si asubuhi wala jioni yaani nashinda kuta nzima umelala hii kitu naogopa hata kuwa na demu maana nitamfanya nini zaidi ya kuaibika.
Nilikuwa mpiga nyeto ila now nineacha msaada wenu tafadhali.
Hapo kabla sikuwahi kufanya mapenzi so sina uzoefu na wanawake kabisa.
abora mkuu hujawai fanya mapenzi ila huna UTI ,gono wala ugonjwa wa zinaa!! baba niliwai pata gonjwa hilooo!!Mimi ni kijana miaka 26 nina tatzo la nguvu za kiume linanitesa sana mpka nakosa raha, uume hausimami kabisa si asubuhi wala jioni yaani nashinda kuta nzima umelala hii kitu naogopa hata kuwa na demu maana nitamfanya nini zaidi ya kuaibika.
Nilikuwa mpiga nyeto ila now nineacha msaada wenu tafadhali.
Hapo kabla sikuwahi kufanya mapenzi so sina uzoefu na wanawake kabisa.
njoo PMngoja kwanza...
Timu Mwamnyeto "CHAPUTA" ndiyo jibu sahihi, inaonekana jinsi gani MATCHING ITEMS ilikupiga chenga sana.Tim kataa ndoa njooni
Poor Brain dronedrakebor
abora mkuu hujawai fanya mapenzi ila huna UTI ,gono wala ugonjwa wa zinaa!! baba niliwai pata gonjwa hilooo!!
Kweli shikamooo Qumaa
tena!?njoo PM
Poor Brain dronedrakebor
abora mkuu hujawai fanya mapenzi ila huna UTI ,gono wala ugonjwa wa zinaa!! baba niliwai pata gonjwa hilooo!!
Kweli shikamooo Qumaa
njoo tu nkwambietena!?
wamefanyaje hawa viranga yaan kama huyu poor brain nikimkamata atakua tu Smart brain😂😂
ngoja nijiandae nakuja
ni hatari watakuuawamefanyaje hawa viranga yaan kama huyu poor brain nikimkamata atakua tu Smart brain😂😂
wapumbavu kama hao usiwe unawajibuNaona unanidhihaki
😥😥😥😥 Lakini lazima tuwepo genge lichangamkewapumbavu kama hao usiwe unawajibu