Msaada: Nina changamoto ya nguvu za kiume

Msaada: Nina changamoto ya nguvu za kiume

Sikia Sasa kuanzia kesho acha kubeti,achana na forex trade,Anza kula miogo kumi asubuhi,kunywa maji mengi achana na pombe au sigara,mchana kula ugali na dagaa au tembele usiku,kula matunda matango karoti na tikiti tafuna na mbegu kesho nipe matokeo ili nikushauri zaidi,pia unaweza kutafuna karanga na mbegu za maboga nataka nijue wewe Ni mwanaume kwa asilimia ngapi,ukiweza kunywa na mchuzi wa pweza kabisa
Hiyo nafanya ni wiki sasa ila bado bila bila
 
Mimi ni kijana miaka 26 nina tatzo la nguvu za kiume linanitesa sana mpka nakosa raha, uume hausimami kabisa si asubuhi wala jioni yaani nashinda kuta nzima umelala hii kitu naogopa hata kuwa na demu maana nitamfanya nini zaidi ya kuaibika.
Nilikuwa mpiga nyeto ila now nineacha msaada wenu tafadhali.
Hapo kabla sikuwahi kufanya mapenzi so sina uzoefu na wanawake kabisa.
dronedrake njoo uone madhara ya puchu huku.
 
bor
Mimi ni kijana miaka 26 nina tatzo la nguvu za kiume linanitesa sana mpka nakosa raha, uume hausimami kabisa si asubuhi wala jioni yaani nashinda kuta nzima umelala hii kitu naogopa hata kuwa na demu maana nitamfanya nini zaidi ya kuaibika.
Nilikuwa mpiga nyeto ila now nineacha msaada wenu tafadhali.
Hapo kabla sikuwahi kufanya mapenzi so sina uzoefu na wanawake kabisa.
abora mkuu hujawai fanya mapenzi ila huna UTI ,gono wala ugonjwa wa zinaa!! baba niliwai pata gonjwa hilooo!!

Kweli shikamooo Qumaa
 
Back
Top Bottom