Raia mpya
JF-Expert Member
- Apr 12, 2022
- 673
- 1,915
- Thread starter
- #41
Hiyo nafanya ni wiki sasa ila bado bila bilaSikia Sasa kuanzia kesho acha kubeti,achana na forex trade,Anza kula miogo kumi asubuhi,kunywa maji mengi achana na pombe au sigara,mchana kula ugali na dagaa au tembele usiku,kula matunda matango karoti na tikiti tafuna na mbegu kesho nipe matokeo ili nikushauri zaidi,pia unaweza kutafuna karanga na mbegu za maboga nataka nijue wewe Ni mwanaume kwa asilimia ngapi,ukiweza kunywa na mchuzi wa pweza kabisa