Pole mkuu!Wakuu habari zenu
Kama nimevoandika hapo juu nimepima presha Leo na presha yangu ni kama hiyo nlioandika Ila sikuwahi kuwa na presha. Sasa wakuu ushauri wenu nianze dawa au nianze lishe ya kuacha wanga na sukari?
Anza hata kwa kutembea 39min utoke jasho itakusaidia baadae utanza kukimbia hata kwa pace ya 9... kidogo kidogo uta gain kikubwa hapo ni kupunguza weight.Vp mazoezi kwahii presha nikiyaanza Itakua shida? Je presha itapanda Zaid pindi nikiwa nafanya mazoezi?
Kabla hujaanza mazoezi na kujinyima kuraMkuu ndo nataka nianze
Mkuu unayo presha Kubwa ya kupanda ni hatari. Je Una kilo ngapi mwilini mwako?Wakuu habari zenu
Kama nimevoandika hapo juu nimepima presha Leo na presha yangu ni kama hiyo nlioandika Ila sikuwahi kuwa na presha. Sasa wakuu ushauri wenu nianze dawa au nianze lishe ya kuacha wanga na sukari?
Kawaida Presha ni 120/80 Sasa wewe hiyo presha yako ni kubwa sana jaribu kunywa maji ya Uvuguvugu kwa wingi,fanya mazoezi,acha kula vyakula vyenye chumvi nyingi acha kula vyakula vyenye mafuta, usinywe kabisa kahawa, Kula punje 2 za Kitunguu Saumu kila siku asubuhi kabla ya kula kitu na mchana kula tena punje 2 na usiku pia kula tena . Ukitaka dawa ya kukuponyesha kabisa maradhi yako nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako upate kupona uguwa pole.Wakuu habari zenu
Kama nimevoandika hapo juu nimepima presha Leo na presha yangu ni kama hiyo nlioandika Ila sikuwahi kuwa na presha. Sasa wakuu ushauri wenu nianze dawa au nianze lishe ya kuacha wanga na sukari?
Nishauri mkuu hiyo dawa ni ipiMkuu kuna dawa nataka nikushauri kuitumia ila usiidharau... Ukishaitumia hiyo dawa ndani ya wiki moja jaribu kupima tena alafu ulete mrejesho tuone imekuwaje.
Kabisa mkuu weight yangu nikubwa kuliko heightAnza hata kwa kutembea 39min utoke jasho itakusaidia baadae utanza kukimbia hata kwa pace ya 9... kidogo kidogo uta gain kikubwa hapo ni kupunguza weight.
Sjakuelewa niwe nawauzia nyama kivipKama vipi mkuu cheza dili na wenye mabutcher uwe unawauzia nyama
Kwaiyo mkuu unataka kunambia pylori wanasababisha presha ya mtu kuongezeka akiwa kafungaKabla hujaanza mazoezi na kujinyima kura
Ni vema ukajua uwiano wa urefu wako na uzito ulonao
Usianze kujinyima kura ukaongeza hizo h pylori 7Unazidi kujiweka na hatari ya kuumwaumwa magonjwa mbalimbali
Kwa mujibu wa maelezo yako huna presha wala tatizo lolote la moyo
Kinachokusumbua ni hao bacteria wa h pylori
Ukizingatia umefunga ndio umeongeza kasi ya usumbufu wa hao wadudu
Chakufanya Mariza mfungo anza kupiga misosi mwili utarecover zaidi JUISI ya parachichi ni tiba nzuri ya hao wadudu
Amini nakwambia mkuu wangu
Siku ya EIDD nakualika home njoo tupige ubwabwa uanze kurecover mwili
Nna kilo75 na height yangu ni 164cm..pia nna vidonda vya tumbo so ramadhani yote nimefunga nkiwa navidonda vya tumboMkuu unayo presha Kubwa ya kupanda ni hatari. Je Una kilo ngapi mwilini mwako?
Kawaida Presha ni 120/80 Sasa wewe hiyo presha yako ni kubwa sana jaribu kunywa maji ya Uvuguvugu kwa wingi,fanya mazoezi,acha kula vyakula vyenye chumvi nyingi acha kula vyakula vyenye mafuta, usinywe kabisa kahawa, Kula punje 2 za Kitunguu Saumu kila siku asubuhi kabla ya kula kitu na mchana kula tena punje 2 na usiku pia kula tena . Ukitaka dawa ya kukuponyesha kabisa maradhi yako nitafute kwa wakati wako ili niweze kukutibia maradhi yako upate kupona uguwa pole.
View attachment 1781567
Mkuu pia nna vidonda vya tumbo na ramadhani yote nimefunga nikiwa navidonda vya tumbo je vidonda vya tumbo vinaweza sababisha presha kuongezekaAnza hata kwa kutembea 39min utoke jasho itakusaidia baadae utanza kukimbia hata kwa pace ya 9... kidogo kidogo uta gain kikubwa hapo ni kupunguza weight.
Kabla ya kuanza mfungo wa ramadhani presha yangu ilikua normal pia nna vidonda vya tumbo je mtu akifunga nahali anavidonda vya tumbo je presha yake inaweza ongezekaRelax kwanza.
Kama kweli ni uzito wako ni huo, fanya hivi:
1. Pima tena ndani ya siku tofauti ukiwa na utulivu. Ikiwa bado juu, ikubali.
2. Pima vipimo vingine vya figo, cholesterol na ini. Ikiwezekana fanya ultrasound.
3. Kama uko mzima, nuia na utekeleze kwa uaminifu mabadiliko ya lishe na mazoezi.
Anza polepole, kupunguza kiasi cha chakula kidogo kidogo kadri mwili unavyoweza kuhimili.
Anza mazoezi hata kutembea umbali mfupi na kila wiki uongeze kasi na muda wa mazoezi.
Mim mimgonjwa wa vidonda vya tumbo pia nanifunga ramadhani yote Hali navidonda vya tumbo je vidonda vinaweza sababisha presha ya mtu kuongezeka?Hapana ,mazoez ni mazuri ,husaidia kushusha presha..mazoez kama kukimbia, kutembea, kuruka kamba ,husaidia kushusha presha .
Kimbia angalau dakika 20 kwa siku nne ndan ya wiki.
Ila kama unafanya mazoez na ukaanza hisi maumivu ya kifua, kukosa pumzi, kizunguzungu, maumivu ya mikono, mabegan n..k Uache.
Wiki tatu kabla ya kuanza mfungo presha yangu ilikua normal naninavidonda vyatumbo so nimefunga nkiwa na vidonda vya tumbo jevidonda vya tumbo vinaweza sababisha presha kupanda? Pia kuhusu unene sio mnene Sana nna uzito wa 75kg na urefu 164cm so uzito wangu nimkubwa kidogo kulinganisha na urefu...pia kuhusu kurithi baba Ana presha kaipata akiwa naumri wamiaka55 nahii nikutoka nalife styel alokua akiishi ya vyakula na pia kwa upande wa mama hivo hivoKabla ya kufanya chochote hapo ni lazima ujuwe pressure yako kupanda imesababishwa na nini,inaweza kuwa ni Unene,stress,Cholesterol,shida ya figo,unywaji wa pombe,uvutaji wa sigara,utumiaji sana wa vitu vyenye Caffein,chumvi nyingi au hata kurithi n.k.sasa ukishagundua kuwa kimoja wapo au vyote ni visababishi unatakiwa upate ushauri wa jinsi ya kupambana na hilo tatizo.Pia jaribu kupima sehemu mbili au tatu tofauti,wakati mwingine unaweza kuwa kipimo ulichotumia hakiko sahihi...
Wakuu habari zenu,
Kama nimevoandika hapo juu nimepima presha Leo na presha yangu ni kama hiyo nlioandika Ila sikuwahi kuwa na presha. Sasa wakuu ushauri wenu nianze dawa au nianze lishe ya kuacha wanga na sukari
Pima cholesterol na figo kama ziko sawa,kama viko sawa,fuata ushauri wa Sky Eclat hapo juu,anza kutumia dawa kwa kufuata ushauri wa daktari huku ukicontrol kwa mazoezi au kubadilisha life style yako,ikiweza kuwa normal utaweza pia kuacha dawa taratibu...Wiki tatu kabla ya kuanza mfungo presha yangu ilikua normal naninavidonda vyatumbo so nimefunga nkiwa na vidonda vya tumbo jevidonda vya tumbo vinaweza sababisha presha kupanda? Pia kuhusu unene sio mnene Sana nna uzito wa 75kg na urefu 164cm so uzito wangu nimkubwa kidogo kulinganisha na urefu...pia kuhusu kurithi baba Ana presha kaipata akiwa naumri wamiaka55 nahii nikutoka nalife styel alokua akiishi ya vyakula na pia kwa upande wa mama hivo hivo
Dawa gani chief maana hata mimi naona sielewi elewi presha ilikuwa 131/77Mkuu kuna dawa nataka nikushauri kuitumia ila usiidharau... Ukishaitumia hiyo dawa ndani ya wiki moja jaribu kupima tena alafu ulete mrejesho tuone imekuwaje.
Dawa za kuondoa bad cholestrol ni zipi maana nahisi hio ndio itakuwa inansumbua mimi hata kabla sijaipima tu manaa nakula nyama daily!Kwanza tafuta sababu nini kinapandisha pressure kupanda. Shida ya madaktari wetu wanaweza waka anza kukupa dawa bila ya kufanya utafiti wa kutosha nini ambacho kinapandisha pressure yako. Mimi nilipata hiyo shida Feb 2021 na immediately wakanianzishia dawa. Nikawahoji why then tukafanya vipimo vifuatavyo
1. ECO
2.ECG
3. Lipid profile .
Baada ya vipimo tajywa tukagundua Bad Cholesterol iko juu hivyo nika anza dozi ya pressure na cholesterol kwa mwezi mmoja na baada ya kupima Cholesterol na BP vikawa sawa. Mimi nime opt maisha ya kuishi bila dawa for now hivyo nimeacha kwanza
1. Matumizi ya chumvi
2. Matumizi ya pombe - I do wine rarely
3. Red meat and all saturated fats to avoid cholesterol
4. Nafanya mazoezi
So far iko vizuri ila pia avoid sana stress