Minjingu Jingu
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 1,517
- 3,316
- Thread starter
-
- #61
Mi naishi vizuri sana na watu ndo maana nipo nje ya nchi wewe upo huko Madongo kuinama. Kama wewe ni mwanaume sitaki kuonana nawe. Mi naonana na mademu wakali tu. Basi.
Kabisa aiseee zote hizo ni akaunt zangu au unanichagulia zipi nichukue?Unaona unajipia promo kwa akauti yako nyingine
Legeza kama muonane bwana.Kwahyo unataka nimuachie....
Basi sawa
Sio uzichape sema nikuchape..Mimi nikutane na secretarybird na Poor Brain tuzichape mpk kila mmoja awe sawa, mazoea yaishe manina
Tunakutana lini maana niko kamiligado ile mbaya.Mimi nikutane na secretarybird na Poor Brain tuzichape mpk kila mmoja awe sawa, mazoea yaishe manina
Ila Harmful anajua kupika mbege nyie acheni tu!secretarybird niko nae hapa kwa mromboo, tunapata mbege karibu.
Ila Harmful anajua kupika mbege nyie acheni tu!
Una miaka mingapi?Komeo Lachuma - huyu jamaa ni moja ya members watata sana na huwa simwelewi atakuwa mtu wa namna gani. Hakuna siku itapita hajagombana na mtu, hajaonesha ubabe na hajachokoza mtu. Nahitaji kuonana naye nimfanye kama case study katika suala la personality. Je atakuwa ni mtu wa namna gani kwa umri, sura, kimo, rangi, uzito
Kalpana - anaonekana ni mdada wa makamo anayejielewa mchezi na si mnene. Mchangamfu sana na anajichanganya na kila mtu. Nlitamani nipate naye siku nzima tuongee nimsome pia live kama navyomfikiria yupo hivyo.
MK254 - ni mtu ambaye ana utulivu mzuri sijawahi mwona akitukanana na mtu wala kujibishana vibaya. Anatoa taarifa sana jukwaa la kimataifa. Natamani nimwone atakuwa anaonekana vipi nikihusisha na nyuzi zake.
Mshana Jr - sijawahi mwona akigombana na mtu. Huwa anapenda kuanzisha nyuzi nyingi tu anawaachia muamue kusoma au kutosoma. Na akijibiwa vibaya ananyamaza.
Chizi Maarifa - mbabe, mkorofi, ana penda ugomvi atakuwa na makovu mengi sana mwilini, anaweza akawa anatokea kigoma, mara au arusha.
Ma Mshuza - atakuwa na liumbo la kuvutia, mshali na mwenye maneno mengi. Lijishangazi nadhani la miaka above 40
Nahitaji hawa watu nionane nao mmoja mmoja niongee nao kwa mwaliko wa Lunch eneo Mlimani City au Mikocheni sehemu ambayo tutapata nafasi nzuri ya kuongea kwa utulivu tukila.
Halafu kipindi fulani wewe ulinisababishia ban hivyo naomba tukutane uso kwa uso nikuadhibu vikali π.Komeo Lachuma - huyu jamaa ni moja ya members watata sana na huwa simwelewi atakuwa mtu wa namna gani. Hakuna siku itapita hajagombana na mtu, hajaonesha ubabe na hajachokoza mtu. Nahitaji kuonana naye nimfanye kama case study katika suala la personality. Je atakuwa ni mtu wa namna gani kwa umri, sura, kimo, rangi, uzito
Kalpana - anaonekana ni mdada wa makamo anayejielewa mchezi na si mnene. Mchangamfu sana na anajichanganya na kila mtu. Nlitamani nipate naye siku nzima tuongee nimsome pia live kama navyomfikiria yupo hivyo.
MK254 - ni mtu ambaye ana utulivu mzuri sijawahi mwona akitukanana na mtu wala kujibishana vibaya. Anatoa taarifa sana jukwaa la kimataifa. Natamani nimwone atakuwa anaonekana vipi nikihusisha na nyuzi zake.
Mshana Jr - sijawahi mwona akigombana na mtu. Huwa anapenda kuanzisha nyuzi nyingi tu anawaachia muamue kusoma au kutosoma. Na akijibiwa vibaya ananyamaza.
Chizi Maarifa - mbabe, mkorofi, ana penda ugomvi atakuwa na makovu mengi sana mwilini, anaweza akawa anatokea kigoma, mara au arusha.
Ma Mshuza - atakuwa na liumbo la kuvutia, mshali na mwenye maneno mengi. Lijishangazi nadhani la miaka above 40
Nahitaji hawa watu nionane nao mmoja mmoja niongee nao kwa mwaliko wa Lunch eneo Mlimani City au Mikocheni sehemu ambayo tutapata nafasi nzuri ya kuongea kwa utulivu tukila.
Nitakukung'uta mpk unuke damu ohoo, shauri yakoTunakutana lini maana niko kamiligado ile mbaya.
Nitakutandika mpk unyooke ohoo, mm sio wa mchezo oyaah,Sio uzichape sema nikuchape..
Alafu skia soon naingia dasalam hapo aisee enataka nifanye kitu ambacho jf itakua history hapa
Nakuona kabisa umesahau jinsi nilivyoogopwa Lyamungo nzima.Nitakukung'uta mpk unuke damu ohoo, shauri yako
Mimi nilitisha sio kuogopwa nilitisha mzee, nitakukung'uta kama maharage ya mbeyaNakuona kabisa umesahau jinsi nilivyoogopwa Lyamungo nzima.
Sasa jichanganye!
Uonwe unanini wewe buziMimi hutaki kuniona?
Usiwateke tuu!Komeo Lachuma - huyu jamaa ni moja ya members watata sana na huwa simwelewi atakuwa mtu wa namna gani. Hakuna siku itapita hajagombana na mtu, hajaonesha ubabe na hajachokoza mtu. Nahitaji kuonana naye nimfanye kama case study katika suala la personality. Je atakuwa ni mtu wa namna gani kwa umri, sura, kimo, rangi, uzito