Msaada, ninahitaji sana kuonana na hawa members. Wananifikirisha sana na kunipa mtanzuko wa moyo

Sawa na Ahsante!
 
Yaani mtu akubali kuonana na wewe kwa kigezo cha kula lunch Mlimani city?

Seriously mtu mwenye kende zake mbili kabisa!!
Acha utani aisee...
Hujui wasiojulikana??
 
Sawa na Ahsante!
Tena wewe uliwahi dokeza kuhusu kuwa uliwahi kuwa na urafiki na jambazi,halafu ni leftshooter wa maana kutokana na matumizi ya mkono wako wa kushoto,mbona utadakwa faster tu uwasaidie manyamwera upeleleziπŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…