Strictly Syrup
JF-Expert Member
- Aug 4, 2013
- 1,227
- 1,818
Natumaini mnaendelea vema katika harakati za kuusaka mkate wa kila siku.
Nimekuja hapa nahitaji msaada, kuna malipo natakiwa kupokea, lakini njia nilizokuwa natumia kupokea fedha kutoka kwa watu wengine wa hukohuko US leo zimenigomea kwa huyu mtu anayetaka kutuma malipo.
Nimetumia sendwave,World Remit, Remitly, na app nyingi za kufanya malipo kuja Mobile money (Airtel money, Mpesa) zimenigomea.
Nitashukuru nikipata ushauri utakaonisaidia kuweza kupokea fedha. Natanguliza shukrani.
Bro we ni freelancer?skrill
ndio njia safi na unaweza kupeleka benki yako.bila tatizoView attachment 1980357
Nashukuru mkuu natarajia kufanyia kazi ushauri wako maana fursa nyingi ntakuwa nakosa.Tumia njia ya bitchoin
Skrill nilijaribu lakini registration kwenye app iliniletea error nikawa nimeachana nayo kwanza. Nashukuru ngoja nijaribu kwa pc browser.skrill
ndio njia safi na unaweza kupeleka benki yako.bila tatizoView attachment 1980357
Skrill nilijaribu lakini registration kwenye app iliniletea error nikawa nimeachana nayo kwanza. Nashukuru ngoja nijaribu kwa pc browser.
Nimefanikiwa kufungua account mkuu, nashukuru sana. Nitakujulisha nikifanikiwa..mbona wapo vizuri na gharama ndogo.sijaona kunisumbua
Nchi yetu mpaka aibu mtu anakutajia njia nyingi ambazo angeweza kukutumia pesa lakini inshindikana, inadhihirisha kiasi gani bado tupo nyuma katika kuruhusu technology kukua.Hata money gram hakuna siku hizi wanasema Kuna tatizo wanashungulikia ni kama serekali inabania njia zisizo za benki kupokea hela toka nje
Hata money gram hakuna siku hizi wanasema Kuna tatizo wanashungulikia ni kama serekali inabania njia zisizo za benki kupokea hela toka nje
Hii ilikuwepo ni after jiweJIWE alikuwa anaharibu nchi.
Kwanini zigome mkuu? Mwambie akutumie western union au money gram au afanye bankwire.Natumaini mnaendelea vema katika harakati za kuusaka mkate wa kila siku.
Nimekuja hapa nahitaji msaada, kuna malipo natakiwa kupokea, lakini njia nilizokuwa natumia kupokea fedha kutoka kwa watu wengine wa hukohuko US leo zimenigomea kwa huyu mtu anayetaka kutuma malipo.
Nimetumia sendwave, World Remit, Remitly, na app nyingi za kufanya malipo kuja Mobile money (Airtel money, Mpesa) zimenigomea.
Nitashukuru nikipata ushauri utakaonisaidia kuweza kupokea fedha. Natanguliza shukrani.
Ndugu yangu tutafutie kazi huko Qatar huku bongo tunakufa na njaa ndugu zako. Kila siku afadhali ya jana.Hata huku Qatar hawatumii mpesa wanatuma bank collect tu kwa mpesa haiendi
Ni wewe tu ndi njaa inakuua. Wengine tupo huku Kamsamba tunalima hekari za mpunga na tunapiga pesa kama kawa! Qatar ipo hapa hapa Bongo huko kwingine ni kwenda kushangaa tu warabu na midevu yao. πππNdugu yangu tutafutie kazi huko Qatar huku bongo tunakufa na njaa ndugu zako. Kila siku afadhali ya jana.
Ni wewe tu ndi njaa inakuua. Wengine tupo huku Kamsamba tunalima hekari za mpunga na tunapiga pesa kama kawa! Qatar ipo hapa hapa Bongo huko kwingine ni kwenda kushangaa tu warabu na midevu yao. πππ
Mkuu jaribu kusearch hapa Jf utaona kuna malalamiko mengi ya watu kuhusiana na trasaction za kimataifa, haswa kwa Paypal.Kwanini zigome mkuu? Mwambie akutumie western union au money gram au afanye bankwire.
Ila kwanini hizo njia zigome?
Hata huku Qatar hawatumii mpesa wanatuma bank collect tu kwa mpesa haiendi