Msaada: Njia bora zaidi ya kupokea fedha kutoka US ni ipi?

Natumia paypal ya kenya, natumia payoneer, natumia skrill, transferwise kwa sasa inajulikana kama wise. Unaweza fungua paypal ya kenya
 
Hata mimi nilikua natumia safaricom ya Kenya mpesa natuma vodacom mpesa hata hiyo imefungwa
 
Fungus account localbitoin au yellowcard arafu mtumie wallet dk30 unakunja mkwanjwa kwa account au moboli wallet.
 
Napata shida kuverify Skrill Acc yangu kila nikiUpload bank statement wanaikataa. Msaada tafadhari
Iwe na physical address fanya kuedit weka namba ya mtaa mpaka namba ya nyumba
 
Fungus account localbitoin au yellowcard arafu mtumie wallet dk30 unakunja mkwanjwa kwa account au moboli wallet.
Ukiwa na haraka ya pesa local bitcoin unakuta inakata maana mnunuzi ananunua kwa rate ndogo
 
Iwe na physical address fanya kuedit weka namba ya mtaa mpaka namba ya nyumba
Unaweza kunionyesha screenshot.. Maana me nilienda kuchukua benki, nafikiri ni card statement, sidhani kama ina details hizo lakin nasikia kuna watu wanatengeneza hizo docs
 
Dah unfortunately hapa sina ila chukua statement hata cedb wanayotuma kwenye ema weka physical address namba ya mtaa namba ya nyumba hvyo. Mimi uwa naweka tu namba zozote
 
Ukiwa na haraka ya pesa local bitcoin unakuta inakata maana mnunuzi ananunua kwa rate ndogo
Akikamilisha mie ntamnunulia kwenye platform hiyo.kwa bei ya siku husika,nikimpunja asirealize bitcoin zake tu.
 
Utakuwa umemsaidia maana mm mara kadhaa nikiwa na haraka nakuta napoteza kias flan.
 
Mkuu mimi nina visenti kadhaa online, pale kuna njia mbili za kutoa skrill na paypal, nikitaka kufungua paypal ya kenya napataje laini ya safaricom. Skrill kuverify mziki maana sina ID ya nida. Asante.
 
Paypal mpaka uwe na line mm uwa nanunua kwa jamaa yuko tanga, ukifungua paypal ya kenya kwa kutumia line ya kenya kazma pia ktambulisho kiendane na majina yaliyo sajili line na ndiyo uyatumie kwenye acc ili uweze kutia pesa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…