Msaada: Njia rahisi za kupunguza mwili

Msaada: Njia rahisi za kupunguza mwili

Joined
Jul 14, 2018
Posts
36
Reaction score
7
Jamani me nina kilo 80 nahitaji kupunguza kwa haraka ninafanya mazoezi ya kukimbia huwa na zunguruka wanja mara 6 kwa siku ila ndani ya wiki mbili nipunguza kilo 1 tu hv hakuna njia za kupunguza mwili kwa haraka zaidi nimechoka na huu mwili
 
Unazunguka uwanja mara 6 tu???kipindi nafanya mazoezi nilikuwa nazunguka uwanja mara 20-25
 
Jamani me nina kilo 80 nahitaji kupunguza kwa haraka ninafanya mazoezi ya kukimbia huwa na zunguruka wanja mara 6 kwa siku ila ndani ya wiki mbili nipunguza kilo 1 tu hv hakuna njia za kupunguza mwili kwa haraka zaidi nimechoka na huu mwili
Edibily Lunyamila alishindwa majaribio Ujerumani kwa kukosa kilo 80, endelea na tizi kijana, hatutegemei mwanaume wa shoka kuwa na kilo 50, uko kwenye raiti traki,
 
Halafu hizo kilo ni kawaida kwa mwanaume maana tunamifupa mizito
 
Mkuu yani mimi nimeanza mpaka kufikilia kutafuta dawa zile wanazotangaza insta

Bruh ahaaaaa tupo wengi aisee me nimeanza kutamani ata nipate demu pasua kichwa labda nitakonda maana hasara zakupoteza pesa nazipata mara kwa mara ila bado azitoshi kunikondesha.
 
Back
Top Bottom