Inawezekana paka alileta ubabe akazidiwa na kukimbia baadae alisahau alirudi kulala na paka walivyo wavivu, mwamba akamgonga akiwa usingizini.
Nimeacha kabisa nachungulia tu na kumlika tochi pale kwenye sink kuona kama amejitokezaAisee, dah
Sasa mkuu bado una ujasiri wa kutumia hiyo washroom?
Sisi tulitaka yakae muda mrefu tulitoboa juu ya mfuniko.Jirani yetu alikuwa na ukuta kila mara aliuwa nyoka sisi aahh wala hawakusogea eneo letu sbb ya ile harufuMnatoboa kwenye kifuniko cha mdomo au pembeni ya chupa?
Huyo nyoka wa kumlenga kwa bunduki anakua kafa au?Raia wote hamna vyombo vya moto?na mnakaa vijijini?huyo msako wa siku moja tu risasi ya shingo mnaachana nae
Mimi naonaga kwangu wa aina tatu wa kwanza ni wa kijani warefu na wa pili ni weusi wafupi pia na wa tatu ni silver flani hivi wanarangi kama tofali au cement nipo dar gobani maeneo gani huko ili tujue aina ya nyoka??!!ukishajua ni aina gani ya nyoka na tabia zake itakuwa rahisi kumnasa.
kingine huwez kuchoma kila siku chupa za plastic cjui pilipili au kumwaga vitunguu maji sababu atakimbia then atarudi hali ikitulia!
taja eneo ulipo nikwambie ni aina gani hiyo ya nyoka wanapatikana hapo haswa wenye sumu!!
je ameweza kumeza kuku?au paka?
usije ukamuua bure kumbe alikuwa anasaidia kukupunguzia panya humo ndani!
inaonyesha toka dunia imeumbwa binadamu ameua nyoka mara 5000 kuliko nyoka kuua binadamu hata mmoja..
Nyoka mmoja anawashinda watu 1000? Nishalala na nyoka kifutu na akaondoka mwenyewe,Huyo nyoka wa kumlenga kwa bunduki anakua kafa au?
Hili swala lilijadiliwa bungeni juu ya koboko kuzidi maeneo ya Tabora na waziri Nyalandu akasema bunduki siyo option na hata logic tu inakuonyesha bunduki siyo option.
Achome kipande cha tyre atatoka mwenyewe
Kigwangala alimgonga Twiga na akafa kule Mdori Manyara, lakini hakujitafuta ili apelekwa mahakamani.πππππKwa hiyo RUKHSA ya kuua nyoka ni kwa maccm tu! π€£π€£π€£
Huyo hakuwa koboko, atakuwa alijuwa nyoka mwingine asiye na sumu. Koboko hawezi kung'ata bila kuweka sumu, hana uwezo wa kuzuia sumu akigonga. Tifauti na nyoka wengine ambao wanaweza kukupiga "dry bite" kama anajua wewe sio chakula chake na pia humuwindi ili kumuua.Kuna vingi vya kuviconsider hapo.
Afya ya mtu. Umri. Eneo la mwili lililogongwa n.k.
Kuna kesi ya mwanamke aliyeng'atwa na black mamba zaidi ya wawili na bado akapona. Na black mamba mmoja anagonga zaidi ya mara moja so zaidi ya wawili wanagonga mara nyingi nyingi na mwanamke aliishi.
Kifutu (puff adder) siyo aggressive unless uwachokoze au umkanyageNyoka mmoja anawashinda watu 1000,?nishalala na nyoka kifutu na akaondoka mwenyewe,
huyo wenu atakua kashadhuriwa.
Otherwise ni wapole sana na wao wenyewe wanaogopa bin adam.
Nyoka gani mwingine anafanya multiple bites? Afrika, Kenya?Huyo hakuwa koboko, atakuwa alijuwa nyoka mwingine asiye na sumu. Koboko hawezi kung'ata bila kuweka sumu, hana uwezo wa kuzuia sumu akigonga. Tifauti na nyoka wengine ambao wanaweza kukupiga "dry bite" kama anajua wewe sio chakula chake na pia humuwindi ili kumuua.