Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kuku ni atakaye muwahi mwenzieNyoka kwa kuku hasogei labda wa kizungu, kuku anaua nyoka! Choma Tyre mwaga disel. Mmefanya kosa kubwa kuhama mmempa utulivu na nafasi ya kutafuta makazi yake vizuri.
Kwa kweli hata mimi mwenyewe sina majibu hapo ila ninachohisi aliingia ndani kupitia mlangoni kabla ya kufungwa na tukaishi nae bila kujua kabla ya kupata upenyo hadi chooni ama alichiba tokea kwenye karo nje akatokezea ndani na kuweka makazi pembeni mwa sinki yanamotokea maji.Alipita wapi mpk kuingia kwenye chooni?
Mkuu mwaga diesel kuzunguka nyumba, harufu na ile ikimpata mwilini nyoka anasepa.Msaada, kuna jirani yangu Kaingiliwa na nyoka mazingira ya nyumbani kwake, huyu nyoka ana week tangu aonekane mara ya kwanza, ila upo uwezekano ni zaidi ya week maana kabla ya hapo ilikua inatokea tu kuku kapotea, kelele za kuku bandani, usumbufu dirishani akiwa amelala n.k n.k.
Baada ya mda ndio akaonekana live. Kumtafuta imekua changamoto kwanza ni kwa mashaka maana yaweza kua naye anakutafuta au mshtukiziane akuwahi.
Na inaonesha ni mkali na ana sumu mbaya, Juzi paka wake alikua naye ndani, ile anatoka tuu nje paka akapiga kelele kutoka anamkuta paka ndio anakaukia, chini ya dk akawa tayari kafa.
Japo inaonekana alimjeruhi, maana mdomoni alikua na damu na ngozi.
Imebidi ahamishe watoto huku, hawakai tena pale. Mwenyewe anaenda kwa machale.
Nyumbani kwake kuna maua mengi sanaa yale yanayotanda mpaka ukutani, bustani ya mboga, kama mita 50 hivi kuna kijimto na nyasi nyingi, tumepatana leo tupulize ile dawa ya kuua mimea.
Kuna uwezekano anakuja na kuondoka, na si mara ya kwanza kuonekana maeneo ya nje, wanafunzi washamuona sana Kwa maelezo yao ashawahi mgonga mmoja wao kwenye kiatu.
Huyu ndugu tunamsaidiaje?
Jana kakutana na michirizi nje, akaishia nje.
Juzi katika kumsaka tukaambulia gamba tukasepa.
Mara anoe maua yanacheza au kuanguka.
Hakuna njia yoyote zaidi ya kumuua, ila njia gani sasa?
Naomba imani za kishirikina uwe ushauri wa mwisho.
Kule tanga wanachomaga pilipili ili kufukuza wachawi pia,hii kitu ushaisikiaga?Tafuteni pilipili zilizokauka chomeni ndani ya vyumba, nje tyre
Akichanika, siafu wachukue zamu yao kushambulia alipofumuka... 😂 😂 😂Ukienda kwa maafisa wanyamapori itabidi uongezee chai kidogo uwaambie kuna chatu maeneo hayo anakadiliwa kuwa mkubwa size ya chupa la maji lita 6 na ameshameza paka, kuku, na juzi alifurumushwa akitaka kumeza mtoto, bahati mbaya mama yake akatokea akakimbia.
lakini ukisema nyoka tu hawaji kabisa,,
Ila kwa mbinu hiyo wanaweza kuja na Helkopiter na vifaa vya kisasa.
NOTE. Jaribu pia hizo mbinu walizokushauri juu.
NOTE.
JINSI YA KUMUUA UKIONA SHIMO LAKE.
ukibahatika kuona shimo lake la makazi jiridhishe kuwa muda huo hayumo ndani.?
Nenda dukani Nunua kiwembe kipya halafu unakichimbia kwenye njia yake ya kuingilia shomoni kwa kukitegeshea kwenye pembe.
Akiingia tu huwa kinachana kuanzia shindo mpaka kwenye Tigo kabisa au,papuchi kama ni wa jike.
NASISITIZA UJIRIDHISHE HAYUKO SHIMONI NDIYO UTEGE.
Ndo maana naipenda jf ila ningekuwa mimi sijui ningekuwa naishi wapi yaani nyoka sipatani nao kabisaaAchome kipande cha tyre atatoka mwenyewe.
Hahaha, hii njia ya kuua nyoka ipo Agresive sana [emoji3]Ukienda kwa maafisa wanyamapori itabidi uongezee chai kidogo uwaambie kuna chatu maeneo hayo anakadiliwa kuwa mkubwa size ya chupa la maji lita 6 na ameshameza paka, kuku, na juzi alifurumushwa akitaka kumeza mtoto, bahati mbaya mama yake akatokea akakimbia.
lakini ukisema nyoka tu hawaji kabisa,,
Ila kwa mbinu hiyo wanaweza kuja na Helkopiter na vifaa vya kisasa.
NOTE. Jaribu pia hizo mbinu walizokushauri juu.
NOTE.
JINSI YA KUMUUA UKIONA SHIMO LAKE.
ukibahatika kuona shimo lake la makazi jiridhishe kuwa muda huo hayumo ndani.?
Nenda dukani Nunua kiwembe kipya halafu unakichimbia kwenye njia yake ya kuingilia shomoni kwa kukitegeshea kwenye pembe.
Akiingia tu huwa kinachana kuanzia shindo mpaka kwenye Tigo kabisa au,papuchi kama ni wa jike.
NASISITIZA UJIRIDHISHE HAYUKO SHIMONI NDIYO UTEGE.
Pamoja na hayo kwenye mapambano lolote laweza kutokeaNyoka baada ya huo ugomvi akaamua kubeba kinyongo dhidi ya huyo paka huyu nyoka wa kawaida kweli mama? Akamvizia hadi usingizini?
Ni njia nzuri, ila umakini unahitajika kama ulivyosema kuhakikisha hayupo shimoni wakati wa kutega kiwembe.Mahome tuliitumia sana hii njia kuu kobogo, mjishamuona ametoka kwenda kuwinda mnamtegeshea hicho kiwembe alikuwa hachomoki kabisa,,anavyotamba kuingia ndani biashara kwisha.
nimenyanyua miguu juu mara kadhaa natizama chiniDah, hii thread yenyewe kuisoma naisoma kwa mashaka mashaka sana.
Mwili unasisimka.
Hiyo nyumba ni ya nani au ameipateje?Tuanzie hapo kwanzaMsaada, kuna jirani yangu Kaingiliwa na nyoka mazingira ya nyumbani kwake, huyu nyoka ana week tangu aonekane mara ya kwanza, ila upo uwezekano ni zaidi ya week maana kabla ya hapo ilikua inatokea tu kuku kapotea, kelele za kuku bandani, usumbufu dirishani akiwa amelala n.k n.k.
Baada ya muda ndio akaonekana live. Kumtafuta imekua changamoto kwanza ni kwa mashaka maana yaweza kua naye anakutafuta au mshtukiziane akuwahi.
Na inaonesha ni mkali na ana sumu mbaya, Juzi paka wake alikua naye ndani, ile anatoka tuu nje paka akapiga kelele kutoka anamkuta paka ndio anakaukia, chini ya dk akawa tayari kafa.
Japo inaonekana alimjeruhi, maana mdomoni alikua na damu na ngozi.
Imebidi ahamishe watoto huku, hawakai tena pale. Mwenyewe anaenda kwa machale.
Nyumbani kwake kuna maua mengi sanaa yale yanayotanda mpaka ukutani, bustani ya mboga, kama mita 50 hivi kuna kijimto na nyasi nyingi, tumepatana leo tupulize ile dawa ya kuua mimea.
Kuna uwezekano anakuja na kuondoka, na si mara ya kwanza kuonekana maeneo ya nje, wanafunzi washamuona sana Kwa maelezo yao ashawahi mgonga mmoja wao kwenye kiatu.
Huyu ndugu tunamsaidiaje?
Jana kakutana na michirizi nje, akaishia nje.
Juzi katika kumsaka tukaambulia gamba tukasepa.
Mara anoe maua yanacheza au kuanguka.
Hakuna njia yoyote zaidi ya kumuua, ila njia gani sasa?
Naomba imani za kishirikina uwe ushauri wa mwisho.
Ina maana haujawahi kutana na nyoka maishani mwako[emoji15]Navyoogopa nyoka jamani
Eeh Mungu naomba nisije kutana nae
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app