Msaada: Nyoka Mkali anazunguka Mazingira ya Nyumbani

Nyoka walivyo na tabia ya kutafuta joto ipo siku utakuta umelala nae mmejifunika blanket
 
Nyoka kwa kuku hasogei labda wa kizungu, kuku anaua nyoka! Choma Tyre mwaga disel. Mmefanya kosa kubwa kuhama mmempa utulivu na nafasi ya kutafuta makazi yake vizuri.
Kwa kuku ni atakaye muwahi mwenzie
Ila shughuli ni kuku mwenye watoto
 
Alipita wapi mpk kuingia kwenye chooni?
Kwa kweli hata mimi mwenyewe sina majibu hapo ila ninachohisi aliingia ndani kupitia mlangoni kabla ya kufungwa na tukaishi nae bila kujua kabla ya kupata upenyo hadi chooni ama alichiba tokea kwenye karo nje akatokezea ndani na kuweka makazi pembeni mwa sinki yanamotokea maji.
Siku namuona choo kilikuwa hakijatumika kwa takribani masaa 24 maana hatukuwepo sasa nilipofika tu nilienda chooni kukojoa, ile mkojo unashuka nikamuona amekuja mbio ametoa ulimi (bila shaka alikuwa anataka maji yaani mkojo-nasema hivi kwa sababu nilishaona tena porini nyoka akirukia mkojo wa anaotoa mtu wakati wa jua kali)
 
Mkuu mwaga diesel kuzunguka nyumba, harufu na ile ikimpata mwilini nyoka anasepa.
 
CHOMA PILIPILI MWENDOKASI PAMOJA NA MATAIRI ILA HAKIKISHA MILANGO YA NYUMBA ZOTE KARIBU IMEFUNGWA .WAKATI HUO HAKIKISHA UMETOA TAARIFA POLISI AU VYOMBO VYA ULINZI VILIVYO KARIBU NAWEWE.MAANA MAJOKA MENGINE HAYAFI HADI KWA RISASI HASA MADUBWASHA MEUSI
 
katakata kitunguu maji na kitunguu swaumu kisha changanya twanga, changanya na maji kisha mwaga....atatoka baraka sana na wala hawezi kurudi.

lkn nakushauri usiruhusu vyura au panya ktk makazi yako kwani hicho ndio chakula kikubwa cha nyoka anacho kifuata maeneo hayo.

Fuga paka,

mwaga surlpher.

ziba kreki

safisha mazingiza.
 
Tafuta wasukuma wale wanaocheza na nyoka waje wamchukue.
Andaa pesa kwa ajili ya kazi hiyo ukiwa bahiri itakula kwako))
 
Ukienda kwa maafisa wanyamapori itabidi uongezee chai kidogo uwaambie kuna chatu maeneo hayo anakadiliwa kuwa mkubwa size ya chupa la maji lita 6 na ameshameza paka, kuku, na juzi alifurumushwa akitaka kumeza mtoto, bahati mbaya mama yake akatokea akakimbia.

lakini ukisema nyoka tu hawaji kabisa,,

Ila kwa mbinu hiyo wanaweza kuja na Helkopiter na vifaa vya kisasa.

NOTE. Jaribu pia hizo mbinu walizokushauri juu.

NOTE.
JINSI YA KUMUUA UKIONA SHIMO LAKE.

ukibahatika kuona shimo lake la makazi jiridhishe kuwa muda huo hayumo ndani.?

Nenda dukani Nunua kiwembe kipya halafu unakichimbia kwenye njia yake ya kuingilia shomoni kwa kukitegeshea kwenye pembe.

Akiingia tu huwa kinachana kuanzia shindo mpaka kwenye Tigo kabisa au,papuchi kama ni wa jike.

NASISITIZA UJIRIDHISHE HAYUKO SHIMONI NDIYO UTEGE.
 
Akichanika, siafu wachukue zamu yao kushambulia alipofumuka... 😂 😂 😂
 
Kwanza usimwage mafuta kuzunguka nyumba. Sababu ni kuwa mafuta nyoka hawezi kuvuka, kwa hiyo unaweza kujikuta umebaki naye ndani.

Hakikisha umemfukuza ndio uweke mafuta ili asirudi tena

Zaidi tafuta kiumbe anayewezana na nyoka ili aende akamle

Your browser is not able to display this video.
 
Hahaha, hii njia ya kuua nyoka ipo Agresive sana [emoji3]
 
Nyoka baada ya huo ugomvi akaamua kubeba kinyongo dhidi ya huyo paka huyu nyoka wa kawaida kweli mama? Akamvizia hadi usingizini?
Pamoja na hayo kwenye mapambano lolote laweza kutokea
 
Mahome tuliitumia sana hii njia kuu kobogo, mjishamuona ametoka kwenda kuwinda mnamtegeshea hicho kiwembe alikuwa hachomoki kabisa,,anavyotamba kuingia ndani biashara kwisha.
Ni njia nzuri, ila umakini unahitajika kama ulivyosema kuhakikisha hayupo shimoni wakati wa kutega kiwembe.
 
Hiyo nyumba ni ya nani au ameipateje?Tuanzie hapo kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…