Msaada: Period (hedhi) inanitesa

Tupo wengi, mi hata siku za joto nakuwa hivyo hasira kisirani mpaka nifokee mtu au nilie ndo natulia, ni kujitahidi tu kuzuia hiyo hali hadi kichwa kuuma na homa hutokea baadhi ya vipindi, sielewi hasira huwa zinatokeaga wapi!!!
Aisee poleni sana
 
Pole, mimi huwa nakosa usingizi. Nitahangaika kutafuta usingizi mpaka nimalize hizo siku๐Ÿšฎ
 
Pole mwaya.
Nashukuru sijafikia kutamani kujiua Mungu akusaidie.

Yaani ni kazi.
Bora ukiwa kwenye mahusiano na mtu anayekujali hasa ukiwa hizo siku kama mdau hapo juu alivyosema mkewe akiwa period anazidi kumpet pet.Hiyo inasaidia kukupa mood nzuri ila uwe na kimeo hakieleweki lazima uzidi kupata wenge
 
Ila haivumiliki hiyo hali usiwalaumu aisee, mtu hajakukosea unamlipukia tu tena sometimes unakuta anakueleza vizuri tu hata mie siwezi kuvumilia tutazinguana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ