Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo kwangu nikupeti mpaka uwe unajisikia fresh.Heri yake mwenzangu.
Pole sana Georgyna haupo peke yako, mwenzio mpaka nilikuwa naweza vunja mahusiano na mtu niliye naye lakini hiyo huwa ni nikiwa nimekaribia MP zile siku chache kabla, hasira zikiisha sioni hata kosa la ku-break up ni nini..!!
Na kuna wakati nakuwa very depressed mpaka natamani hata kufa, mpaka nije kukumbuka nimekaribia MP unakuta nimeshateseka na stress ambazo hazina kichwa wala miguu vya kutosha..!!
Hivyo sahii nimejifunza nikiwa na mood mbovu bila sababu na hasira za ajabu naanza kutazama calendar yangu haraka then I take control of it..! Pole sana mwaya, ukiona tu hujielewi kabla hujatenda lolote la kujutia baadaye katazame calendar yako chap, kisha utaweza kui control situation..!!
Aisee poleni sanaTupo wengi, mi hata siku za joto nakuwa hivyo hasira kisirani mpaka nifokee mtu au nilie ndo natulia, ni kujitahidi tu kuzuia hiyo hali hadi kichwa kuuma na homa hutokea baadhi ya vipindi, sielewi hasira huwa zinatokeaga wapi!!!
Sio lako peke yako tuko wengi,, nachoweza kukushauri ukijihisi hivyo jifungie peke yako km ni kulia lia toa machozi epuka kuwa karibu na mtu anaeweza kukukera km maids watoto nkAs if kuna aliyejiumba.
Tunapambana tu 😂😂halafu hali hiyo ikiisha unajicheka na kujiona mjinga au kujisikia hatia ya uliyemkoseaAisee poleni sana
Pole, mimi huwa nakosa usingizi. Nitahangaika kutafuta usingizi mpaka nimalize hizo siku🚮Pole sana Georgyna haupo peke yako, mwenzio mpaka nilikuwa naweza vunja mahusiano na mtu niliye naye lakini hiyo huwa ni nikiwa nimekaribia MP zile siku chache kabla, hasira zikiisha sioni hata kosa la ku-break up ni nini..!!
Na kuna wakati nakuwa very depressed mpaka natamani hata kufa, mpaka nije kukumbuka nimekaribia MP unakuta nimeshateseka na stress ambazo hazina kichwa wala miguu vya kutosha..!!
Hivyo sahii nimejifunza nikiwa na mood mbovu bila sababu na hasira za ajabu naanza kutazama calendar yangu haraka then I take control of it..! Pole sana mwaya, ukiona tu hujielewi kabla hujatenda lolote la kujutia baadaye katazame calendar yako chap, kisha utaweza kui control situation..!!
Hasira ni kwa kila mtu. Ila kuna wengine huzidi.Tupo wengi, mi hata siku za joto nakuwa hivyo hasira kisirani mpaka nifokee mtu au nilie ndo natulia, ni kujitahidi tu kuzuia hiyo hali hadi kichwa kuuma na homa hutokea baadhi ya vipindi, sielewi hasira huwa zinatokeaga wapi!!!
Duh hatari sana hii yaani hadi watt wanakuwa wanawakera duuhSio lako peke yako tuko wengi,, nachoweza kukushauri ukijihisi hivyo jifungie peke yako km ni kulia lia toa machozi epuka kuwa karibu na mtu anaeweza kukukera km maids watoto nk
Tunahitaji hurumaa na ndo uwe na mlundikano wa genye hasira inakuwaga mara mbili yakeHasira ni kwa kila mtu. Ila kuna wengine huzidi.
Pole mwaya.Pole sana Georgyna haupo peke yako, mwenzio mpaka nilikuwa naweza vunja mahusiano na mtu niliye naye lakini hiyo huwa ni nikiwa nimekaribia MP zile siku chache kabla, hasira zikiisha sioni hata kosa la ku-break up ni nini..!!
Na kuna wakati nakuwa very depressed mpaka natamani hata kufa, mpaka nije kukumbuka nimekaribia MP unakuta nimeshateseka na stress ambazo hazina kichwa wala miguu vya kutosha..!!
Hivyo sahii nimejifunza nikiwa na mood mbovu bila sababu na hasira za ajabu naanza kutazama calendar yangu haraka then I take control of it..! Pole sana mwaya, ukiona tu hujielewi kabla hujatenda lolote la kujutia baadaye katazame calendar yako chap, kisha utaweza kui control situation..!!
Yani kakitu kadogo unalipuka,,, tuna over react, muhimu ni kujizuia usifungue mdomo la sivyo ndo yanatokea haya ya mtoa madaDuh hatari sana hii yaani hadi watt wanakuwa wanawakera duuh
Hii kitu mbaya sana😂. Ndio napitia hapaTunahitaji hurumaa na ndo uwe na mlundikano wa genye hasira inakuwaga mara mbili yake
Ila haivumiliki hiyo hali usiwalaumu aisee, mtu hajakukosea unamlipukia tu tena sometimes unakuta anakueleza vizuri tu hata mie siwezi kuvumilia tutazinguana tuPole mwaya.
Nashukuru sijafikia kutamani kujiua Mungu akusaidie.
Yaani ni kazi.
Bora ukiwa kwenye mahusiano na mtu anayekujali hasa ukiwa hizo siku kama mdau hapo juu alivyosema mkewe akiwa period anazidi kumpet pet.Hiyo inasaidia kukupa mood nzuri ila uwe na kimeo hakieleweki lazima uzidi kupata wenge
Aisee ndio maana kuna muda kiteller kinakuchekea mara siku nyingine ni kalamu tu hadi salam mzito kurudisha aiseeeeYani kakitu kadogo unalipuka,,, tuna over react, muhimu ni kujizuia usifungue mdomo la sivyo ndo yanatokea haya ya mtoa mada
😂😂😂😂😂Pole,, jimwagie maji naona inasaidia kupunguza pia fanya unachopenda km ni kula, kucheza mziki, kujipamba, kuzurula, umbea ,kusoma, mazoezi nkHii kitu mbaya sana😂. Ndio napitia hapa