Ukiona hivyo ujue tayari uzuri haichukui muda mrefu ni siku 1-3Aisee ndio maana kuna muda kiteller kinakuchekea mara siku nyingine ni kalamu tu hadi salam mzito kurudisha aiseeee
Kimeo kinarudi asubuhi njwiiiiii sipatii picha ilo tifuu lake ๐Pole mwaya.
Nashukuru sijafikia kutamani kujiua Mungu akusaidie.
Yaani ni kazi.
Bora ukiwa kwenye mahusiano na mtu anayekujali hasa ukiwa hizo siku kama mdau hapo juu alivyosema mkewe akiwa period anazidi kumpet pet.Hiyo inasaidia kukupa mood nzuri ila uwe na kimeo hakieleweki lazima uzidi kupata wenge
Napenda kula tu na mziki๐๐๐๐๐๐Pole,, jimwagie maji naona inasaidia kupunguza pia fanya unachopenda km ni kula, kucheza mziki, kujipamba, kuzurula, umbea ,kusoma, mazoezi nk
๐๐๐๐Tupo pamoja,, ni mbaya kinomaHalafu ukute uko kwa distance relationship halafu huyo anayesababisha uwe na genye awe haeleweki sasa wala kujua unahitaji kupetiwa petiwa๐
Ms eyes unapitia nini tena sahz ๐ mlundiko wa nyege au ๐Hii kitu mbaya sana๐. Ndio napitia hapa
Basi ukijihisi hiyo mooda fanya hivyo vitu,, mi huwa ikiwa mbaya hata kutoka sitoki ndani kabisaNapenda kula tu na mziki๐
Habari zenu wakuu.
Nachukia the way ninakua ninapokua kwenye hedhi.
Ninapokua kwenye siku zangu mahusiano yangu na watu wengine yanakua hatarini.
Mwanzoni nilikua nachukulia kawaida ila sasa hivi nimejua hili ni tatizo tena kubwa na ninaomba anayeweza kunisaidia anisaidie nifanyaje mana hata najiuliza kama nikiolewa kuna atakayeweza kuishi na mimi kila mwezi siku tatu nakua wa ajabu๐ญ.
Hili tatizo limesababisha nipoteze wafanyakazi wengi wazuri.
Hapa ninavyoandika nimetoka kufanya maamuzi mabaya sana na ninajutia ila sijui kama niliyemfanyia anaweza kunisamehe mahusiano yarudi.
Nimekuja kukumbuka nimefanya niliyofanya sababu ya period wakati niko bafuni naoga.
Cha ajabu ni kwamba,hizo siku tatu zikipita huwa najiahidi kutofanya maamuzi yeyote ya hasira nikiwa period ila nikiingia tu period zile siku tatu za mwanzo nakua na moody mbaya na mtu akiniudhi kidogo tu nahuzunika sana,naweza kulia tu au kuamua kujitenga na huyo mtu.
Najaribu sana kuji control ila mwishowe najikuta naharibu tu๐ญ๐ญ.
Msaada wenu please na please naomba msinihukumu mana jinsi ninavyojisikia hovyo muda huu anajua Mungu tu.
๐คฃ๐คฃ๐คฃTunahitaji hurumaa na ndo uwe na mlundikano wa genye hasira inakuwaga mara mbili yake
Alafu Kapeace anakuambia eti uimwagie maji muongoo huyo itaharibika shauri yako ๐Kwenda huko๐
namna hii hutaweza kuishi na wazeeNaomba uongelee hapa
Habari zenu wakuu.
Nachukia the way ninakua ninapokua kwenye hedhi.
Ninapokua kwenye siku zangu mahusiano yangu na watu wengine yanakua hatarini.
Mwanzoni nilikua nachukulia kawaida ila sasa hivi nimejua hili ni tatizo tena kubwa na ninaomba anayeweza kunisaidia anisaidie nifanyaje mana hata najiuliza kama nikiolewa kuna atakayeweza kuishi na mimi kila mwezi siku tatu nakua wa ajabu๐ญ.
Hili tatizo limesababisha nipoteze wafanyakazi wengi wazuri.
Hapa ninavyoandika nimetoka kufanya maamuzi mabaya sana na ninajutia ila sijui kama niliyemfanyia anaweza kunisamehe mahusiano yarudi.
Nimekuja kukumbuka nimefanya niliyofanya sababu ya period wakati niko bafuni naoga.
Cha ajabu ni kwamba,hizo siku tatu zikipita huwa najiahidi kutofanya maamuzi yeyote ya hasira nikiwa period ila nikiingia tu period zile siku tatu za mwanzo nakua na moody mbaya na mtu akiniudhi kidogo tu nahuzunika sana,naweza kulia tu au kuamua kujitenga na huyo mtu.
Najaribu sana kuji control ila mwishowe najikuta naharibu tu๐ญ๐ญ.
Msaada wenu please na please naomba msinihukumu mana jinsi ninavyojisikia hovyo muda huu anajua Mungu tu.
Siwezagi kugombana live,ningeishia kulia tu.Sema ukiona sms naandikaga nikiwa na hasira utadhani naweza kuongea kumbe nikiwa ana kwa ana na huyo mtu hata kumwangalia usoni siwezi kwa aibuKimeo kinarudi asubuhi njwiiiiii sipatii picha ilo tifuu lake ๐
Unakuta mtu anagonga gonga kichwa tu na kufungua droo kwa fujo na mihangaiko kama kuku anataka kutaga ๐Ukiona hivyo ujue tayari uzuri haichukui muda mrefu ni siku 1-3