Msaada: Period (hedhi) inanitesa

Msaada: Period (hedhi) inanitesa

Pole mwaya.
Nashukuru sijafikia kutamani kujiua Mungu akusaidie.

Yaani ni kazi.
Bora ukiwa kwenye mahusiano na mtu anayekujali hasa ukiwa hizo siku kama mdau hapo juu alivyosema mkewe akiwa period anazidi kumpet pet.Hiyo inasaidia kukupa mood nzuri ila uwe na kimeo hakieleweki lazima uzidi kupata wenge
Kimeo kinarudi asubuhi njwiiiiii sipatii picha ilo tifuu lake 😄
 
Habari zenu wakuu.

Nachukia the way ninakua ninapokua kwenye hedhi.

Ninapokua kwenye siku zangu mahusiano yangu na watu wengine yanakua hatarini.

Mwanzoni nilikua nachukulia kawaida ila sasa hivi nimejua hili ni tatizo tena kubwa na ninaomba anayeweza kunisaidia anisaidie nifanyaje mana hata najiuliza kama nikiolewa kuna atakayeweza kuishi na mimi kila mwezi siku tatu nakua wa ajabu😭.

Hili tatizo limesababisha nipoteze wafanyakazi wengi wazuri.

Hapa ninavyoandika nimetoka kufanya maamuzi mabaya sana na ninajutia ila sijui kama niliyemfanyia anaweza kunisamehe mahusiano yarudi.

Nimekuja kukumbuka nimefanya niliyofanya sababu ya period wakati niko bafuni naoga.

Cha ajabu ni kwamba,hizo siku tatu zikipita huwa najiahidi kutofanya maamuzi yeyote ya hasira nikiwa period ila nikiingia tu period zile siku tatu za mwanzo nakua na moody mbaya na mtu akiniudhi kidogo tu nahuzunika sana,naweza kulia tu au kuamua kujitenga na huyo mtu.

Najaribu sana kuji control ila mwishowe najikuta naharibu tu😭😭.

Msaada wenu please na please naomba msinihukumu mana jinsi ninavyojisikia hovyo muda huu anajua Mungu tu.

Hayana mahusiano na blid, ni tabia tu inatafuta pa kutokea, control yourself, self discipline na kutojiendekeza ni muhimu.

Ukiwa kwenye blid:

  • Umewahi chukia ukachana hela?
  • Umewahi chukua ukagonga gari?

Mbona yote mabaya unayoamua au kufanya ni kwa ajili ya kuumiza wengine?
 
Back
Top Bottom