Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiona hivyo ujue tayari uzuri haichukui muda mrefu ni siku 1-3Aisee ndio maana kuna muda kiteller kinakuchekea mara siku nyingine ni kalamu tu hadi salam mzito kurudisha aiseeee
Kimeo kinarudi asubuhi njwiiiiii sipatii picha ilo tifuu lake 😄Pole mwaya.
Nashukuru sijafikia kutamani kujiua Mungu akusaidie.
Yaani ni kazi.
Bora ukiwa kwenye mahusiano na mtu anayekujali hasa ukiwa hizo siku kama mdau hapo juu alivyosema mkewe akiwa period anazidi kumpet pet.Hiyo inasaidia kukupa mood nzuri ila uwe na kimeo hakieleweki lazima uzidi kupata wenge
Napenda kula tu na mziki😌😂😂😂😂😂Pole,, jimwagie maji naona inasaidia kupunguza pia fanya unachopenda km ni kula, kucheza mziki, kujipamba, kuzurula, umbea ,kusoma, mazoezi nk
😂😂😂😂Tupo pamoja,, ni mbaya kinomaHalafu ukute uko kwa distance relationship halafu huyo anayesababisha uwe na genye awe haeleweki sasa wala kujua unahitaji kupetiwa petiwa😁
Ms eyes unapitia nini tena sahz 😄 mlundiko wa nyege au 😄Hii kitu mbaya sana😂. Ndio napitia hapa
Basi ukijihisi hiyo mooda fanya hivyo vitu,, mi huwa ikiwa mbaya hata kutoka sitoki ndani kabisaNapenda kula tu na mziki😌
Habari zenu wakuu.
Nachukia the way ninakua ninapokua kwenye hedhi.
Ninapokua kwenye siku zangu mahusiano yangu na watu wengine yanakua hatarini.
Mwanzoni nilikua nachukulia kawaida ila sasa hivi nimejua hili ni tatizo tena kubwa na ninaomba anayeweza kunisaidia anisaidie nifanyaje mana hata najiuliza kama nikiolewa kuna atakayeweza kuishi na mimi kila mwezi siku tatu nakua wa ajabu😭.
Hili tatizo limesababisha nipoteze wafanyakazi wengi wazuri.
Hapa ninavyoandika nimetoka kufanya maamuzi mabaya sana na ninajutia ila sijui kama niliyemfanyia anaweza kunisamehe mahusiano yarudi.
Nimekuja kukumbuka nimefanya niliyofanya sababu ya period wakati niko bafuni naoga.
Cha ajabu ni kwamba,hizo siku tatu zikipita huwa najiahidi kutofanya maamuzi yeyote ya hasira nikiwa period ila nikiingia tu period zile siku tatu za mwanzo nakua na moody mbaya na mtu akiniudhi kidogo tu nahuzunika sana,naweza kulia tu au kuamua kujitenga na huyo mtu.
Najaribu sana kuji control ila mwishowe najikuta naharibu tu😭😭.
Msaada wenu please na please naomba msinihukumu mana jinsi ninavyojisikia hovyo muda huu anajua Mungu tu.
🤣🤣🤣Tunahitaji hurumaa na ndo uwe na mlundikano wa genye hasira inakuwaga mara mbili yake
Alafu Kapeace anakuambia eti uimwagie maji muongoo huyo itaharibika shauri yako 😄Kwenda huko😂
namna hii hutaweza kuishi na wazeeNaomba uongelee hapa
Habari zenu wakuu.
Nachukia the way ninakua ninapokua kwenye hedhi.
Ninapokua kwenye siku zangu mahusiano yangu na watu wengine yanakua hatarini.
Mwanzoni nilikua nachukulia kawaida ila sasa hivi nimejua hili ni tatizo tena kubwa na ninaomba anayeweza kunisaidia anisaidie nifanyaje mana hata najiuliza kama nikiolewa kuna atakayeweza kuishi na mimi kila mwezi siku tatu nakua wa ajabu😭.
Hili tatizo limesababisha nipoteze wafanyakazi wengi wazuri.
Hapa ninavyoandika nimetoka kufanya maamuzi mabaya sana na ninajutia ila sijui kama niliyemfanyia anaweza kunisamehe mahusiano yarudi.
Nimekuja kukumbuka nimefanya niliyofanya sababu ya period wakati niko bafuni naoga.
Cha ajabu ni kwamba,hizo siku tatu zikipita huwa najiahidi kutofanya maamuzi yeyote ya hasira nikiwa period ila nikiingia tu period zile siku tatu za mwanzo nakua na moody mbaya na mtu akiniudhi kidogo tu nahuzunika sana,naweza kulia tu au kuamua kujitenga na huyo mtu.
Najaribu sana kuji control ila mwishowe najikuta naharibu tu😭😭.
Msaada wenu please na please naomba msinihukumu mana jinsi ninavyojisikia hovyo muda huu anajua Mungu tu.
Siwezagi kugombana live,ningeishia kulia tu.Sema ukiona sms naandikaga nikiwa na hasira utadhani naweza kuongea kumbe nikiwa ana kwa ana na huyo mtu hata kumwangalia usoni siwezi kwa aibuKimeo kinarudi asubuhi njwiiiiii sipatii picha ilo tifuu lake 😄
Unakuta mtu anagonga gonga kichwa tu na kufungua droo kwa fujo na mihangaiko kama kuku anataka kutaga 😄Ukiona hivyo ujue tayari uzuri haichukui muda mrefu ni siku 1-3