Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu Habarini/asalaam/Shalom
Me ni kijana wa Miaka 25 Ila nipo kwenye mtihani ambao sijui nitatokaje
Nimekuwa nikiteswa na tatizo la mkojo kwa kipindi kirefu sana zaidi ya miaka 10+
Nikienda haja ndogo ninateseka sana kutoa mkojo, ninaweza kutumia mpaka dakika 10 au zaidi ndo mkojo utoke, na ukitoka natoa mkojo mdogo sana na bado mwingine nahisi upo ndani………..
Nimekunywa miti shamba mbalimbali, nimekwenda hospital kubwa Kama Bugando-Mwanza lakini hali bado iko pale pale.
Nilipoenda Bugando,nilikutana na urologists,walinifanyia vipimo na wakaniwekea mpaka catheter (Mrija kwenye njia ya mkojo)niliambiwa nasumbuliwa na kichocho………nikapewa vidonge nikatumia kwa muda mrefu sana lakini bado hali ikawa ile ile mpaka Leo na hakuna mabadiliko yoyote.
Kama kuna mtu anapitia changamoto au alishawahi pitia karibu tushauriane ni kwa namna gani ulitoka kwenye hii dhahama.
Karibuni wapendwa[emoji1545]
Tunauza dawa za kutibu tatizo lako. Kama utahitaji njoo PM kwa mawasaliano.Wakuu Habarini/asalaam/Shalom
Me ni kijana wa Miaka 25 Ila nipo kwenye mtihani ambao sijui nitatokaje
Nimekuwa nikiteswa na tatizo la mkojo kwa kipindi kirefu sana zaidi ya miaka 10+
Nikienda haja ndogo ninateseka sana kutoa mkojo, ninaweza kutumia mpaka dakika 10 au zaidi ndo mkojo utoke, na ukitoka natoa mkojo mdogo sana na bado mwingine nahisi upo ndani………..
Nimekunywa miti shamba mbalimbali, nimekwenda hospital kubwa Kama Bugando-Mwanza lakini hali bado iko pale pale.
Nilipoenda Bugando,nilikutana na urologists,walinifanyia vipimo na wakaniwekea mpaka catheter (Mrija kwenye njia ya mkojo)niliambiwa nasumbuliwa na kichocho………nikapewa vidonge nikatumia kwa muda mrefu sana lakini bado hali ikawa ile ile mpaka Leo na hakuna mabadiliko yoyote.
Kama kuna mtu anapitia changamoto au alishawahi pitia karibu tushauriane ni kwa namna gani ulitoka kwenye hii dhahama.
Karibuni wapendwa🙏🏿

vipi kuhusu gharama mkuu!? Bei zenu zinakidhi maisha ya kitanzaniaNatural Health Knowledge ( Urine Problems)
(Heshoutang Natural Health System or Xianhe)
Urine / Mkojo upo chini ya mfumo wa Figo & Kibofu ( Kidney & Bladder system “ KB” )
Mtu anaweza pata matatizo ya mkojo kama ifuatavyo ;
Burning Urine / mkojo unachoma , dripping Urine / mkojo unatoka kidogo kidogo, Frequent Urine / mkojo mara kwa mara , painful urine / mkojo unaouma
Matatizo kama hayo hutokana na aina moja ya sumu / toxin , inaitwa “Hot dampness toxin”
Aina hii ya sumu , inaenda ziba Urine channel pia na kusababisha mkojo kutoka kidogo ( dripping urine )
Pia huweza stimulate bladder kufanya frequent urine and burning urine , hali hiyo mkojo unakuwa hauzuiliki .
Treatment plan :
1. Clear Hot dampness toxin into Kidney & Bladder system
2. Improve Circulation ( Open urine channel by breaking blockage into urine channel )
Dawa zetu hufanya mambo hayo yote , na mtu anakaa sawa !
Hata kama mkojo hautoki tunatibu vizuri !
Comt: 0653048888 , 0757577995
Pole sana nduguWakuu Habarini/asalaam/Shalom
Me ni kijana wa Miaka 25 Ila nipo kwenye mtihani ambao sijui nitatokaje
Nimekuwa nikiteswa na tatizo la mkojo kwa kipindi kirefu sana zaidi ya miaka 10+
Nikienda haja ndogo ninateseka sana kutoa mkojo, ninaweza kutumia mpaka dakika 10 au zaidi ndo mkojo utoke, na ukitoka natoa mkojo mdogo sana na bado mwingine nahisi upo ndani………..
Nimekunywa miti shamba mbalimbali, nimekwenda hospital kubwa Kama Bugando-Mwanza lakini hali bado iko pale pale.
Nilipoenda Bugando,nilikutana na urologists,walinifanyia vipimo na wakaniwekea mpaka catheter (Mrija kwenye njia ya mkojo)niliambiwa nasumbuliwa na kichocho………nikapewa vidonge nikatumia kwa muda mrefu sana lakini bado hali ikawa ile ile mpaka Leo na hakuna mabadiliko yoyote.
Kama kuna mtu anapitia changamoto au alishawahi pitia karibu tushauriane ni kwa namna gani ulitoka kwenye hii dhahama.
Karibuni wapendwa🙏🏿
Vipi umefikia hatua gani...!? Tupe mrejesho ili tujue namna nyingine pia ya kukusaidiavipi kuhusu gharama mkuu!? Bei zenu zinakidhi maisha ya kitanzania
Bado sijachukua hatua yoyote ile MkuuVipi umefikia hatua gani...!? Tupe mrejesho ili tujue namna nyingine pia ya kukusaidia
Pole sana kijana , Njoo inbox kuna tiba itakufaa sanaWakuu Habarini/asalaam/Shalom
Me ni kijana wa Miaka 25 Ila nipo kwenye mtihani ambao sijui nitatokaje
Nimekuwa nikiteswa na tatizo la mkojo kwa kipindi kirefu sana zaidi ya miaka 10+
Nikienda haja ndogo ninateseka sana kutoa mkojo, ninaweza kutumia mpaka dakika 10 au zaidi ndo mkojo utoke, na ukitoka natoa mkojo mdogo sana na bado mwingine nahisi upo ndani………..
Nimekunywa miti shamba mbalimbali, nimekwenda hospital kubwa Kama Bugando-Mwanza lakini hali bado iko pale pale.
Nilipoenda Bugando,nilikutana na urologists,walinifanyia vipimo na wakaniwekea mpaka catheter (Mrija kwenye njia ya mkojo)niliambiwa nasumbuliwa na kichocho………nikapewa vidonge nikatumia kwa muda mrefu sana lakini bado hali ikawa ile ile mpaka Leo na hakuna mabadiliko yoyote.
Kama kuna mtu anapitia changamoto au alishawahi pitia karibu tushauriane ni kwa namna gani ulitoka kwenye hii dhahama.
Karibuni wapendwa🙏🏿
Sawa na kwa jiji Kama Dar mlonge naupata sehemu zipiKunywa chai isiyo na sukari u stimulate kukojoa mara Kwa mara!
Hasa usiku vikombe viwili au vitatu,na asubuhi ukiamka TU kunywa tena Kwa mwezi mmoja!!! Uone!
Ukiona hamna kitu jaribu hii;-
Unaujua mlonge!!?utafute mizizi yake OSHA ,kata kata vipande vidogo vidogo kama kiganja Cha mkono!
Weka maji vikombe vya chai hata vinne!halafu chemsha Hadi I've kama nusu saa!!kunywa maji yake kama chai pole pole!asubuhi na jioni!utapata kiu sana utakunywa maji na kukojoa sana!!
Utapona jaribu!
Maji ya moto kiwango gani,vuguvugu au moto kabisa!??Kunywa maji ya moto, kutwa lita tau kwa uchache, ndani ya wiki moja utaona mabadiliko.
Kama unavyochemsha chai na unakunywa kidogo kidogo kama chai. Chunga usijiunguze mdomo.Maji ya moto kiwango gani,vuguvugu au moto kabisa!??