Msaada; Shida ya mkojo unanitesa sana

Msaada; Shida ya mkojo unanitesa sana

Kwa nchi yetu mpk mtu ugonjwa ufikie stage ya mwisho ndo wanaona tatizo..Mungu atusaidie...
Pole sana dogo..
 
Wakuu Habarini/asalaam/Shalom

Me ni kijana wa Miaka 25 Ila nipo kwenye mtihani ambao sijui nitatokaje

Nimekuwa nikiteswa na tatizo la mkojo kwa kipindi kirefu sana zaidi ya miaka 10+

Nikienda haja ndogo ninateseka sana kutoa mkojo, ninaweza kutumia mpaka dakika 10 au zaidi ndo mkojo utoke, na ukitoka natoa mkojo mdogo sana na bado mwingine nahisi upo ndani………..

Nimekunywa miti shamba mbalimbali, nimekwenda hospital kubwa Kama Bugando-Mwanza lakini hali bado iko pale pale.

Nilipoenda Bugando,nilikutana na urologists,walinifanyia vipimo na wakaniwekea mpaka catheter (Mrija kwenye njia ya mkojo)niliambiwa nasumbuliwa na kichocho………nikapewa vidonge nikatumia kwa muda mrefu sana lakini bado hali ikawa ile ile mpaka Leo na hakuna mabadiliko yoyote.

Kama kuna mtu anapitia changamoto au alishawahi pitia karibu tushauriane ni kwa namna gani ulitoka kwenye hii dhahama.

Karibuni wapendwa[emoji1545]

URINE in Natural Knowledge and Treatment:
( Heshoutang Natural Health System )

Mkojo upo chini ya udhibiti wa Mfumo wa FIGO & KIBOFU ;
So tunachoangalia ni kwamba kuna shida gani kwenye Mfumo

So huyu ndugu mkojo unatoka kidogo sana , kitaalamu tunaita “ Dripping Urine “

So mtu anaweza experience “ Burning Urine , Dripping Urine , Painful Urine ;
Generally tatizo kama hilo hutokana na aina ya toxin inaitwa “ Hot dampness toxin” kwenye Mfumo wa Figo & Kibofu ( Kidney & Bladder system “KB” )

Hii aina ya sumu inaenda block urine channel kwenye Kibofu na kusababisha tatizo la mkojo kama hivyo ,

Hilo tatizo lisipotibiwa ipasavyo huweza sababisha shida ya Tezi dume , au pia Mawe kwenye Figo ( Kidney stone )

The reason kwenye conventional medicine ( hospital) ni challenge sana kwa shida kama hizo , ni sababu wanaangalia Organs ( damaged organs ) , na sio energy balancing & Toxin clearance ambayo hii ndio chanzo cha magonjwa yote

Kila ugonjwa una toxin yake na lazima unakuwa connected na energy fulani kufanya imbalance level na kuzalisha sumu mwilini hivyo ugonjwa kutokea ,

Mwili utaonesha dalili kujua ni sumu aina gani ipo na ni kwenye Mfumo upi na iko connected na energy gani !

Treatment plan :
1. Clear hot dampness toxin into Kidneys & Bladder system

2. Improve Circulation by opening Urine channel

Tutakupatia dawa za kufanya hayo mambo na utarudi sawa kabisa bila shida !

Kwa shida yoyote ya kiafya , wasiliana nasi kwa namba

0653048888 , 0757577995
 
Wakuu Habarini/asalaam/Shalom

Me ni kijana wa Miaka 25 Ila nipo kwenye mtihani ambao sijui nitatokaje

Nimekuwa nikiteswa na tatizo la mkojo kwa kipindi kirefu sana zaidi ya miaka 10+

Nikienda haja ndogo ninateseka sana kutoa mkojo, ninaweza kutumia mpaka dakika 10 au zaidi ndo mkojo utoke, na ukitoka natoa mkojo mdogo sana na bado mwingine nahisi upo ndani………..

Nimekunywa miti shamba mbalimbali, nimekwenda hospital kubwa Kama Bugando-Mwanza lakini hali bado iko pale pale.

Nilipoenda Bugando,nilikutana na urologists,walinifanyia vipimo na wakaniwekea mpaka catheter (Mrija kwenye njia ya mkojo)niliambiwa nasumbuliwa na kichocho………nikapewa vidonge nikatumia kwa muda mrefu sana lakini bado hali ikawa ile ile mpaka Leo na hakuna mabadiliko yoyote.

Kama kuna mtu anapitia changamoto au alishawahi pitia karibu tushauriane ni kwa namna gani ulitoka kwenye hii dhahama.

Karibuni wapendwa🙏🏿
Tunauza dawa za kutibu tatizo lako. Kama utahitaji njoo PM kwa mawasaliano.
 
Natural Health Knowledge ( Urine Problems)
(Heshoutang Natural Health System or Xianhe)

Urine / Mkojo upo chini ya mfumo wa Figo & Kibofu ( Kidney & Bladder system “ KB” )

Mtu anaweza pata matatizo ya mkojo kama ifuatavyo ;
Burning Urine / mkojo unachoma , dripping Urine / mkojo unatoka kidogo kidogo, Frequent Urine / mkojo mara kwa mara , painful urine / mkojo unaouma

Matatizo kama hayo hutokana na aina moja ya sumu / toxin , inaitwa “Hot dampness toxin”

Aina hii ya sumu , inaenda ziba Urine channel pia na kusababisha mkojo kutoka kidogo ( dripping urine )
Pia huweza stimulate bladder kufanya frequent urine and burning urine , hali hiyo mkojo unakuwa hauzuiliki .

Treatment plan :
1. Clear Hot dampness toxin into Kidney & Bladder system

2. Improve Circulation ( Open urine channel by breaking blockage into urine channel )

Dawa zetu hufanya mambo hayo yote , na mtu anakaa sawa !

Hata kama mkojo hautoki tunatibu vizuri !

Comt: 0653048888 , 0757577995
 
vipi kuhusu gharama mkuu!? Bei zenu zinakidhi maisha ya kitanzania
 
Wakuu Habarini/asalaam/Shalom

Me ni kijana wa Miaka 25 Ila nipo kwenye mtihani ambao sijui nitatokaje

Nimekuwa nikiteswa na tatizo la mkojo kwa kipindi kirefu sana zaidi ya miaka 10+

Nikienda haja ndogo ninateseka sana kutoa mkojo, ninaweza kutumia mpaka dakika 10 au zaidi ndo mkojo utoke, na ukitoka natoa mkojo mdogo sana na bado mwingine nahisi upo ndani………..

Nimekunywa miti shamba mbalimbali, nimekwenda hospital kubwa Kama Bugando-Mwanza lakini hali bado iko pale pale.

Nilipoenda Bugando,nilikutana na urologists,walinifanyia vipimo na wakaniwekea mpaka catheter (Mrija kwenye njia ya mkojo)niliambiwa nasumbuliwa na kichocho………nikapewa vidonge nikatumia kwa muda mrefu sana lakini bado hali ikawa ile ile mpaka Leo na hakuna mabadiliko yoyote.

Kama kuna mtu anapitia changamoto au alishawahi pitia karibu tushauriane ni kwa namna gani ulitoka kwenye hii dhahama.

Karibuni wapendwa🙏🏿
Pole sana ndugu
 
Ulichukuliwa vipimo vya Ultrsaound kujua uwezo wa kibofu cha mkojo kujaa mkojo na kutoa?
Huenda kuna shida kwenye valves za kibofu cha mkojo zinazohusika ku control mkojo unaotoka!
Lakini ngoja tusubiri Mabingwa wa fani hiyo!
 
Wakuu Habarini/asalaam/Shalom

Me ni kijana wa Miaka 25 Ila nipo kwenye mtihani ambao sijui nitatokaje

Nimekuwa nikiteswa na tatizo la mkojo kwa kipindi kirefu sana zaidi ya miaka 10+

Nikienda haja ndogo ninateseka sana kutoa mkojo, ninaweza kutumia mpaka dakika 10 au zaidi ndo mkojo utoke, na ukitoka natoa mkojo mdogo sana na bado mwingine nahisi upo ndani………..

Nimekunywa miti shamba mbalimbali, nimekwenda hospital kubwa Kama Bugando-Mwanza lakini hali bado iko pale pale.

Nilipoenda Bugando,nilikutana na urologists,walinifanyia vipimo na wakaniwekea mpaka catheter (Mrija kwenye njia ya mkojo)niliambiwa nasumbuliwa na kichocho………nikapewa vidonge nikatumia kwa muda mrefu sana lakini bado hali ikawa ile ile mpaka Leo na hakuna mabadiliko yoyote.

Kama kuna mtu anapitia changamoto au alishawahi pitia karibu tushauriane ni kwa namna gani ulitoka kwenye hii dhahama.

Karibuni wapendwa🙏🏿
Pole sana kijana , Njoo inbox kuna tiba itakufaa sana
 
Juzi kuna mshikaji jafanyiwa oparation kwa tatizo kama hili kwa asilimia 100.

alitumia sana miti shamba kama wewe ila kumbe akaja kuta kuna mrija imejisokota kwenye kibofu huko, wahi Pimwa vipimo vya maana na unaweza kuta tatizo ni kama la jamaa.

Kapime faster
 
We jamaa tafuta urologist mzuri na itakua gharama sana though nimeona majibu yako Sandy patches ni makovu yanayotokana na ugonjwa wa kichocho na wewe ulipata kichocho cha kibofu cha mkojo ambacho kwa badae inaweza kusababisha ukapata saratani ya kibofu hili tatizo lote ni madhara au complications za kichocho ambacho umekua nacho siku nyingi kimeathiri njia yako ya mkojo hapo kupona ni 50/50 lakini nisikukatishe tamaa jaribu na madaktari wengine tatizo linaweza kupungua lakini sio kupona kabisa sababu ya madhara ya hai wadudu wa kichocho
 
Duuh Mkuu sasa hapo nifanye nini ndugu yangu maana hali niliyo nayo inatia Shaka sana kwa sasa
 
Kunywa chai isiyo na sukari u stimulate kukojoa mara Kwa mara!

Hasa usiku vikombe viwili au vitatu,na asubuhi ukiamka TU kunywa tena Kwa mwezi mmoja!!! Uone!

Ukiona hamna kitu jaribu hii;-

Unaujua mlonge!!?utafute mizizi yake OSHA ,kata kata vipande vidogo vidogo kama kiganja Cha mkono!

Weka maji vikombe vya chai hata vinne!halafu chemsha Hadi I've kama nusu saa!!kunywa maji yake kama chai pole pole!asubuhi na jioni!utapata kiu sana utakunywa maji na kukojoa sana!!

Utapona jaribu!
Sawa na kwa jiji Kama Dar mlonge naupata sehemu zipi
 
Back
Top Bottom