Dalali wa mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 326
- 464
Moja Kwa moja kwenye mada.
Mkuu wee ni MTU mzima Mwenye familia na watoto kama Mimi pengine umenizidi umri au nimekuzidi umri.
Umenipigia simu asubuhi ya Jana tumepanga fresh sana mipango na akuniambia kuna Kazi unataka unipe ambayo itanisogeza kimtindo nikakwambia Mimi nipo fresh kabisa kaka.Leo nimekutafuta ukaniambia nije posta ya Zamani tupange mikakati.
Ajabu nimefika kituoni pale nakupigia simu hushiki na mwisho wa siku hukupatikana kabisa.
Hamna shida kaka lakini hatuishi hivi kaka siku nyingine angalia usije ukapata laana za watu mana tegemezi la familia ni kubwa Sana kaka.
Umenifundisha sana siku ya Leo na pia nashukuru nimekuja kuona Bahari pia.Nipigie simu bana kaka inshu imekuwa ngumu tutachekiana ikiwa Sawa.
Umenitoa mbezi brother Hadi posta kuja kushangaa mataa.
#Dalaliwamjini
0754693556