Ooooh, mimba sina mwaya, lbd useme hiyo hali ya hewa, lkn vinauma hasa hasa hili la kushotoKapime ujauzito,
Kama upo Dar, mwezi huu kuna kaubaridi... Chuchu zinasimama na kuuma kwenye baridi kama hujazoea hiyo hali ya hewa.
La sivyo nenda hospitali dear
[emoji23][emoji23][emoji23]Labda yAnavutwa sana na watoto wazima...
Sa siunayakunaa nawewe? Au tafuta libaba liyafakamiee yatapoaa kabisaa. Nahivii umesemaa ujendaa kavu mdaa mrefuu nidawa toshaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndiyo yaume Siku zote!??? Yani kuna mda yanawashaa kweliiii
pole kumbe haujazaa. hao wenzio waliozaa wakati wa kupima mimba kliniki huwa wanaingizwa hadi mkono wote kujua mtoto kama amesogea, wewe unaogopa kuonyesha ziwa wakati kuna siku utaonyesha hadi tigo?Haya ila naona aibu kumtolea doctor ziwa[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Nienda Hosp Jana nimeshaambiwa tatizo ni nn
Yani mnamajibu makali[emoji35]ulivyoambiwa ni kama linahitaji msaada wangu? naimbie mapema tusije kuchelewesha matibabu
Labda yAnavutwa sana na watoto wazima...
Sa siunayakunaa nawewe? Au tafuta libaba liyafakamiee yatapoaa kabisaa. Nahivii umesemaa ujendaa kavu mdaa mrefuu nidawa toshaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
pole kumbe haujazaa. hao wenzio waliozaa wakati wa kupima mimba kliniki huwa wanaingizwa hadi mkono wote kujua mtoto kama amesogea, wewe unaogopa kuonyesha ziwa wakati kuna siku utaonyesha hadi tigo?
Oooh! OKMengine siri
Ngoja nimtafute... Nadhani anayo dawa ya izo chuchu zako.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] kwelii a see sijui kaenda wapi Huyu Jirani yangu, maana alivyobakwa nilimpa msaada
cc: NYOKA mzee
Palipo wanawake hapakosekani wanaume.Nimesema wanawake sasa sijui kilichokuleta ninn
If it is bilateral cause ni systemic inaweza kuwa pregnancy, kama mimba hamna inaweza kuwa premenstrual syndrome kama zikiwa zinatokea b4 period, kama ni unilateral inaweza ikawa mastitis still history ndefu inahitajikaHabari za Eid wapendwa,
Naombeni ushauri kwa anayejua, ni nini kinasababisha chuchu kuuma, mwenzenu chuchu zinauma mno na kuwasha, kipindi cha nyuma zilikuwa zikiuma labda nikiwa MP lakini sasa hivi zinauma tu bila sababu, kwa wanawake wenzangu huwa mnakumbana na hii hali?
Naombeni msaada tafadhali;
cc: espy
Paprika
emmyta
Sakayo
Valentina
miss chaga
Miss Natafuta
Nifah
............
............
...........
Nawengine wotee ila kama wewe ni ke
pole na samahani, ilikuwa tu ni katika jitihada za kuokoa jahaziYani mnamajibu makali[emoji35]
Next time uwe makini. Tuko madaktari kibao mabingwa wa magonjwa ya wanawake. Pia hili Ni jukwaa la madaktari wenye taaluma, sio wanawake.Nimewabagua kwasabab hamna matiti,