Msaada tafadhali: Chuchu kuuma

Msaada tafadhali: Chuchu kuuma

Kapime ujauzito,
Kama upo Dar, mwezi huu kuna kaubaridi... Chuchu zinasimama na kuuma kwenye baridi kama hujazoea hiyo hali ya hewa.
La sivyo nenda hospitali dear
Ooooh, mimba sina mwaya, lbd useme hiyo hali ya hewa, lkn vinauma hasa hasa hili la kushoto
 
Ndiyo yaume Siku zote!??? Yani kuna mda yanawashaa kweliiii
Sa siunayakunaa nawewe? Au tafuta libaba liyafakamiee yatapoaa kabisaa. Nahivii umesemaa ujendaa kavu mdaa mrefuu nidawa toshaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Haya ila naona aibu kumtolea doctor ziwa[emoji85] [emoji85] [emoji85]
pole kumbe haujazaa. hao wenzio waliozaa wakati wa kupima mimba kliniki huwa wanaingizwa hadi mkono wote kujua mtoto kama amesogea, wewe unaogopa kuonyesha ziwa wakati kuna siku utaonyesha hadi tigo?
 
Umeambiwa tatizo ni nini? Lete mrejesho kamili usaidie na wengine humu
 
ulivyoambiwa ni kama linahitaji msaada wangu? naimbie mapema tusije kuchelewesha matibabu
Yani mnamajibu makali[emoji35]
Labda yAnavutwa sana na watoto wazima...

Sa siunayakunaa nawewe? Au tafuta libaba liyafakamiee yatapoaa kabisaa. Nahivii umesemaa ujendaa kavu mdaa mrefuu nidawa toshaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

pole kumbe haujazaa. hao wenzio waliozaa wakati wa kupima mimba kliniki huwa wanaingizwa hadi mkono wote kujua mtoto kama amesogea, wewe unaogopa kuonyesha ziwa wakati kuna siku utaonyesha hadi tigo?
 
Habari za Eid wapendwa,

Naombeni ushauri kwa anayejua, ni nini kinasababisha chuchu kuuma, mwenzenu chuchu zinauma mno na kuwasha, kipindi cha nyuma zilikuwa zikiuma labda nikiwa MP lakini sasa hivi zinauma tu bila sababu, kwa wanawake wenzangu huwa mnakumbana na hii hali?

Naombeni msaada tafadhali;
cc: espy
Paprika
emmyta
Sakayo
Valentina
miss chaga
Miss Natafuta
Nifah
............
............
...........

Nawengine wotee ila kama wewe ni ke
If it is bilateral cause ni systemic inaweza kuwa pregnancy, kama mimba hamna inaweza kuwa premenstrual syndrome kama zikiwa zinatokea b4 period, kama ni unilateral inaweza ikawa mastitis still history ndefu inahitajika
 
Next time uwe makini. Tuko madaktari kibao mabingwa wa magonjwa ya wanawake. Pia hili Ni jukwaa la madaktari wenye taaluma, sio wanawake.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom