Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,426
- Thread starter
- #221
Ooooh, mimba sina mwaya, lbd useme hiyo hali ya hewa, lkn vinauma hasa hasa hili la kushotoKapime ujauzito,
Kama upo Dar, mwezi huu kuna kaubaridi... Chuchu zinasimama na kuuma kwenye baridi kama hujazoea hiyo hali ya hewa.
La sivyo nenda hospitali dear