Canta kwani wewe ndiyo huyo dada?? Adhawaizi umeyajuaje hayo??
Dah, nakweli,Sasa Canta wewe mwenyewe mtazamo kuhusu mapenzi/ngono ndio huo hapo (wa mwanaume kuwa anafaidi) halafu unashangaa jamaa kuchapa mwendo............Trust me bado tuna safari ndefu ya kurekebisha mfumo wa watu kufikiri.
Haaa haaa haaa,
SIO MIMI bwana lol!
Ni mtu wangu wa karibu!
Ni mtu wangu karibu sn,i wanted to ask the same mkuu ... nashangaa canty anatetea vitu vingine ambavyo havipo katika uzi ... mfano amejuaje tabia za huyu dada??
Labda amewahi kuonywa na watu wazima juu ya wanawake wenye fweza au amewahi shuhudia kidume akiwa humiliated kisa mali...ila binafsi nina mifano halisi mingi nyie bamtu yani mkipata gape hasira unazimalizia kwa mmeo nakwambia
tuambie tu kama ulishampa mzigo halafu jamaa akachpa lapa ... lo
Haaa haaa haaaa!tuambie tu kama ulishampa mzigo halafu jamaa akachpa lapa ... lo
Mie nimemwambia aachane naye huyo jamaa ana tabia za kitoto,haya kwa hiyo tukae mkao wa kuendelea kusubiri ...
wewe kama wewe ulimshauri vipi suala lake??
Haa haa haa,Hawezi kubali anatetea nafsi yake kimtindo ila yeye anajua
Mie nimemwambia aachane naye huyo jamaa ana tabia za kitoto,
Ila ndio hivyo hataki ushauri wa kuachana anataka ashuriwe namna ya kurudiana naye!
Hongera sana mkuu,nimesoma uzi huu nikakumbuka mbali sana....hali hii iliwahi kunikumba mimi ila mimi sikufanya kama huyu bwana alivyofanya....mi baada ya kujua kuwa mwenzangu yuko juu sana kwa kweli ilibidi nijiongeze namna ya kufikiria na namna ya kuongea kipato......bila kumwambia wala nini nilianza kuchakalika sana a kilichorahisisha ni kwamba nilikuwa natumia usafiri wake..kwa kuwa tulikuwa tunakaa mikoa miwili tofauti...nilihakikisha kila akija anakuta maendeleo flan....nakumbuka alikuja mda flani akakuta nafuga kuku wengi sana na nimeajili mtu wa kuwahudumia akafurahi sana.....mimi kimya.....
akaja wakati mwingine nimenunua shamba na nikampeleka kwenda kuliona...kule shamba nikawa nafuga ng'ombe wa kisasa nako nikaweka mtu.....kwa kuwa tayari nilikuwa na kibanda cha kuishi nikaenda bank nikachukua mkopo wa maana..nikaenda iringa nikaaanza kusafirisha mbao naleta dar buguruni....mtaji ukakua nilifanya kazi ile kwa miezi kama 6...hakika nilipata faida kubwa sana......wakati nafanya yote haya mwenzangu nae alikuwa nashughuli zake(mabotique 3, saluni 4 zote ziko dar) nashughuli kibao na nyumba moja kapangisha......
baada ya kujiridhisha nae na kwa kuwa alikuwa na mawazo chanya kwangu nikaridhika nae sana......baada ya miaka miwili nikamvika pete na tukaunganisha mali zote aliochuma yeye na mimi ....baadae nikasafiri nikaenda kuongeza shule kidogo huko italy huku yeye akisimamia miradi yangu na yake ujenzi wa nyumba yangu na mwaka jana tar 8 september tulifunga ndoa na ndoa yetu tulifungia italy na ni kati ya ndoa zilizofungwa na baba ntakatifu Benedict wa 16......sasa tupo katika nyumba niliyojenga mimi tunaishi, nyumba alizojenga yeye wakati yuko alone zimepangishwa zote na tunaishi salama na maisha yanakwenda vizuri sana....namshukuru Mungu mama blanca alinipa changamoto nyingi sana juu ya maisha ..
kikuwa nilichokuwa nawaza ni kwamba huyu anawezaje na kwa nini mimi nishindwe!!!? na hakika kwa kiasi nilicho nacho nakwa maisha tunayoishi namshukuru Mungu....
huyu kijana mwenzangu aliyekimbia hana changamoto..hataki kujifunza na mvivu wa kujishughulisha ndo wale wanaosubiri mishahara ya kila mwezi pasipo kujishughulisha.....unakimbia mwaanamke kisa ana kipato kukuzidi?!!!
Mie nimemwambia aachane naye huyo jamaa ana tabia za kitoto,
Ila ndio hivyo hataki ushauri wa kuachana anataka ashuriwe namna ya kurudiana naye!
Kazi gani,mie nimemwambia sina ushauri zaidi ya huo!haha angalia mwisho wa siku utapewa kazi zaidi
Haa haa haa,
Kweli sio mie broda,
Mie nadili na mwanaume sio mvulana!
Kazi gani,mie nimemwambia sina ushauri zaidi ya huo!
Ya nn tugombane, kilichobaki nampa moyo tu labda jamaa atabadili mawazo.
"we ndio mwanaume bana, mwanamke hawezi kukuzidi kipato". Hizi kauli zao wanazoambiana zitawaponza wengi. Nawahurumia sana wanaozichukua kama zilivo na kuzimeza nzima nzima, ndo hao sasa! Kuweni reasonable bana sio mnaishi tu kwa mazoea, things are changing sio kama zamani ambapo tulizuiliwa hata kumiliki ardhi!! Huyo dada atumie ndugu/rafiki yeyote wa huyo "mkaka muoga" kupata ramani yake na ratiba then amuibukie, sometimes unajisacrifice kwa ajili ya ukipendacho lol!!! Ila kama ni wewe cantie nambie nikusindikize........just a joke, lol.......hahahahahaaaa
Hapo unadili na mwanaume wa mwanamke mwenzio sio?