Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,891
kibaya zaid ye yuko ofis za kifisad kipato chako chamwez anauwezo wa kukidaka kwa siku 2 au 3 mbona utaachishwa kaz. Uku kitaan kwetu kuna jamaa ye ni kinyoz tu deiwaka ila waifu wake ana vimilad sema ndo ivo kiswahilisawhili. ana mama ntilie,ana kijiduka cha vipodoz ila izo nyodo zake jamaa anataman kukimbia nyumba ila ndo ivo tena wana watoto wawili mwanadada akianza kumwagia matusi jamaa machoz huwa yanabubujika mbele ya wapangaj wenzake ila ndo ivo ana cha kufanya sababu ata kod ya nyumba analipa mama.
Huo ni upande mmoja wa shilingi je upande mwingine!